Recent content by mamyd

  1. mamyd

    Siwezi kuendelea kufanya hii kazi, mwenye moyo wa kuifanya anicheki PM

    Ondoka apo MUNGU aonae ameona juhid yako atokuacha uaibike Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mamyd

    Je, inawezekana kuomba uhamisho kabla ya kuthibitishwa kazini?

    mbona umejibu kwa makasiriko mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mamyd

    Je, inawezekana kuomba uhamisho kabla ya kuthibitishwa kazini?

    Haijaandikwa kitu kama icho Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mamyd

    Je, inawezekana kuomba uhamisho kabla ya kuthibitishwa kazini?

    Habari zenu, Naomba wenye uelewa wa haya mambo ya Serikali mtoe ideas kuhusu swala zima la mtu kutaka kuhama kabla ya kuthibitishwa kazini, hii imekaaje. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ni mwaka mmoja maana kuna mtu namfaham ameitwa pdf la katikat ya wiki iliyopita ni data base na alifanya mtihan mwez wa 9 mwaka jana na katika muongozo wao ni mwaka 1 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna ndugu yangu amepata leo kupitia data base ya mwaka jana mwez wa 9 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kabisa na tunatokea tokea kuwatia moyo wenzetu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Bila kusahau kusali sana Mwisho wa yote M/Mungu anafanya mambo yasiyowezekana kwa akil ya kawaida kuwezekana tena Sent using Jamii Forums mobile app
  9. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Usikate tamaa ushindi unakuja Mwenyez Mungu awaone watu wote mlio katika hatua hii inshallah Sent using Jamii Forums mobile app
  10. mamyd

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Nenda ofisi zao ilo tatizo watakusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  11. mamyd

    Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Nenda ofisi zao kama upo dsm nenda utumish house pale posta watakusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  12. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Usikate tamaa bado MUNGU ni yule yule utapata tu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kabla ya covid 19 Sent using Jamii Forums mobile app
  14. mamyd

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    TASAC Sent using Jamii Forums mobile app
  15. mamyd

    TAMISEMI nimeshatuma maombi tafadhali naombeni koneksheni sasa

    Muombe M/mungu atakufanikisha Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom