Recent content by Mamy D

  1. Mamy D

    Mambo

    Nimefunga,Karibu JF
  2. Mamy D

    Hello

    Karibu JF
  3. Mamy D

    Am in

    Karibu sana JF
  4. Mamy D

    Am new in here

    Na sie twakupenda sana karibu jf
  5. Mamy D

    Hodii mji huu

    Karibu sana Mlugu, Hapa ni raha na burudan, Karibu JF.
  6. Mamy D

    Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

    Wakiirudisha miaka hii rushwa itatawala badala ya kuongeza pato la taifa!
  7. Mamy D

    Kodi ya Maendeleo(kichwa), Uzembe na Uzururaji...

    heee heeee heee!hizi story babu yangu alinihadithia yalimkuta siku moja akajikuta ameshinda juu ya mwembe kutwa nzima! hivi ingerudishwa miaka hii ingekuwaje loh!
  8. Mamy D

    nini kinakukera jf?

    Habari yako bishanga,Mie bado mgeni sijapata la kunikera zaidi ya kufurahia kuwa member humu.
  9. Mamy D

    Hivi Erickb52 ni receiptionist wa JF au?

    Hata mie nakushukuru katavi ulinipokea siku ile!
  10. Mamy D

    Hawa watoto ndio maana wanafail aisee

    Nakushauri usimjibu msg na simu yake usipokee tena na block namba yake.
  11. Mamy D

    Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

    Heee heee heee,yani na wewe ndio unazidi kunivunja mbavu kabisaaaa,maana ile pozi ya kipedeshee ndio ikatoweka gafla na kubaki na sura ya mjamaa wa mwananyamala,hahaaaa haaaa!
  12. Mamy D

    Ukitaka kumchuna mwanaume......mwongozo

    Mmmh!makubwa haya!
  13. Mamy D

    Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

    Tehee teheee,na kweli bora tu alivyoamua kama noma na iwe noma na kulianzisha,yani majaribu kuvuta picha ya tukio najikuta nacheka bila kikomo,km ni kweli nampa pole.
  14. Mamy D

    Mahusiano: Usafi hustawisha mapenzi!

    Kama unampenda na anakupenda hutaona haya kumshauri vile anatakiwa kuwa,na kwavile anakupenda atakuelewa na kubadilia,mara nyingi malezi ya siku hizi ni mabovu,wamama hawana mda wa kukaana kutoa maelekezo kwa watoto badala yake wanawaachia wadada wa kazi na haya ndio matokeo yake,yy hajui kitu...
  15. Mamy D

    Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

    Teheee tehee heee!nimecheka mpaka basi lo!kwani ilishindikana kupiga huo mkwara kwa kireno jaman
Back
Top Bottom