Changu akajua amepata Mreno, akalamba “Wallet”

ujana una raha zake na majuto yake napenda watu kama wewe ukiamua kutulia hubabaiki na kitu ogopa anayeanza ujana na miaka 40 jua limekuchwa anajiona kijana hongera mreno wa mwananyamala

Hilo jina la Mreno wa Mwananyamala, silipendi kama nini, Hata hilo la Gustavo, maana nimeona wadau humu wameanza kunipachika majina hovyo, jamani patachimbika hapa.............................!
 
Wacha tu mamaD, mie mwenyewe kicheko hakikauki kila nikivuta picha ya Gustavo wakati anadai wallet irudishwe...lol. Sipati picha jasho linamtiririka, mapigo ya moyo yameongeza kasi kwa uoga wa kuaibika, pombe yote kwishneh!
Usiombe uwe kwenye kilele cha ujiko, halafu mtu akushushe ghafla..............Utachanganyikiwa!
 
Wacha tu mamaD, mie mwenyewe kicheko hakikauki kila nikivuta picha ya Gustavo wakati anadai wallet irudishwe...lol.

Sipati picha jasho linamtiririka, mapigo ya moyo yameongeza kasi kwa uoga wa kuaibika, pombe yote kwishneh!
Heee heee heee,yani na wewe ndio unazidi kunivunja mbavu kabisaaaa,maana ile pozi ya kipedeshee ndio ikatoweka gafla na kubaki na sura ya mjamaa wa mwananyamala,hahaaaa haaaa!
 
Unajua kuandika kaka, mimi huwa sisomagi inshu ndefu kama hizi, lakini kwa hapa nimevutiwa hadi mwisho!! mikwara saa nyingine inasaidia.
 
Hilo jina la Mreno wa Mwananyamala, silipendi kama nini, Hata hilo la Gustavo, maana nimeona wadau humu wameanza kunipachika majina hovyo, jamani patachimbika hapa.............................!

Mimi naona Mreno liko powa zaidi hata Gustavo linakufit mkuu..

Unajua leo nimeamka vibaya kweli, kuna mambo yamenikera. Ila baada ya kufungua JF na kukutana na hii stori, nilicheka sana na kuirudia kuisoma. You really made my day Mtambuzi. Pia una mada nzuri sana, zilizosheheni mafunzo vilevile ucheshi wa hali ya juu.

Obrigado!!!
 
Tuto bem contigo sin'oritta Amigoc............................Helder postiga goncalves valera coentrao

Haya bana mwaka 2000 apartments dar? sio kitu ni hadithi nzuri, nashauri hivi vistori vikusanye pamoja JF itoe kitabu, week end njema.
 
Ila hiyo Bar ipo Sinza na si Mwenge, Enhe Hadithi inatufundisha nini?

haijanifundisha kitu zaidi ya kunikumbushia machungu ya kuoigwa kamera yangu maana enzi za mwalimu ilikuwa ukiwa na digital kamera kila mtu anajua lazima umetoka nje nchi na akija nyumba kwako lazima akute tv ya fomaika. tettetehetehetehetehe
 
Heshima yako mkuu nimepitia mengi lakini ili la kwako limenivunja mbavu nimejikuta siku yangu ikiisha vizuri kabisa hii kitu ukiisoma kwenye daladala kila mtu atakuona chizi umechanganyikiwa daaah! Kweli ujana maji ya moto
 
Heee heee heee,yani na wewe ndio unazidi kunivunja mbavu kabisaaaa,maana ile pozi ya kipedeshee ndio ikatoweka gafla na kubaki na sura ya mjamaa wa mwananyamala,hahaaaa haaaa!
Hehehe! Wacha zivunjike MumyD, madaktari mgomo umeisha watafanya kazi ya kuziunga! Mtambuzi kapinda walah tena!
 
Hehehe! Wacha zivunjike MumyD, madaktari mgomo umeisha watafanya kazi ya kuziunga! Mtambuzi kapinda walah tena!
Enzi hizo nilikuwa nimepinda ila siku hizi nimenyooka kwa sababu ya mama Ngina
 
Back
Top Bottom