Recent content by mamvii

  1. M

    Kiongozi mkubwa BAVICHA kujiunga na UVCCM kesho

    unapaswa utafakari, kwanini kila kiongozi makini anatoka ukawa na kila kiongozi ambae mwenye uchu wa madaraka amekatwa ccm anahamia ukawa, kutoka kwao kwa wewe kwa sababu unapingana na ukweli utaona hakuna shida lakini kwa mwenye uelewa na mtu makini atajiuliza kuna nini? naamini utafikiria
  2. M

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    huo ni mpango mkakati wa vijana wa chadema ambao nafasi zao zimechukulia na kundi ambalo ndio vinara wa kampeni za lowassa kitu ambacho kimewafanya vijana hao kukosa maslahi na kuamua kutoa hiyo video kama pay back. tunawaomba muache hiyo tabia yakudhalilisha mama zetu na kututukana...
  3. M

    Hili la "kulinda kura" sawa ila watangulie hawa

    mtoto wa masikini kalinde kura mtoto wa lowassa yuko zake anakula maisha wakati wewe umeumia uko jela,familia yako inateseka kukuhudumia wakati huo yeye hakutambui.TAFAKARI
  4. M

    Siku kama ya leo

    sitafanya makosa, nakumbuka jinsi nilivyokua nashiriki mijadala pale nkuruma alafu namchagua dr magufuli
  5. M

    Hotuba za Mzee Mwinyi, Dr. Shein na Dr. Magufuli Mnazi Mmoja Zanzibar

    huna upofu, unaona lakini umeyafumba macho ukituaminisha hauoni, hivi kuna mtanzania hawajui watoto wa lowassa, kuna mtanzania hafahamu wizi alofanya lowassa katika nchi hii, namuahidi lowassa alikatwa 1995, akakatwa tena 2015 mimi namstaafisha siasa kabisa oct 25
  6. M

    GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    biashara ya hasara hiyo oct 25 inakwisha.
  7. M

    Mbowe rudisha hela zetu

    unataka kufahamu mapato na matumizi kwa mpiga deal, andika umeumia
  8. M

    Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

    Shughuli yao imekwisha magufuli mpaka ikulu
  9. M

    Ushabiki kumpamba Lowassa leo: Ujinga halisi wa Watanzania au laana ya fedha?

    siasa za mihemko hizo,tunajichimbia kaburi wenyewe.
  10. M

    Kizazi kipya na wakombozi wapya wa CCM

    kwenda na speed ya maendeleo, kunahitajika akili mpya na changa za kufikiria zaidi ya pale ambapo wazee ukomo wao wakufikiri umeishia hapo, naunga mkono kuondoka kwa wazee na vijana kuchukua nafasi hizo kuendesha chama.
  11. M

    China isingemchelewesha Lowassa

    Inashangaza Watanzania ambao wanashabikia kiongozi kama lowaa ni fisadi mkubwa kama yeye hakuna mfano, ranchi walizopewa wananchi anajimilikisha yeye na familia yake, ardhi amepora kila dili yeye anahusika, atakua ni kiongozi wa aina gani.siwezi kumkabidhi fisi bucha.
  12. M

    Kauli Mbili Muhimu za Mwalimu Nyerere

    ni kweli mabadiliko bora hayawezi kuletwa na kiongozi nje ya ccm, ikulu sio pango la walanguzi
  13. M

    Nani aliwashauri UKAWA kujiweka mbali na Nyerere?

    ukikumbatia nyuki jiandae kutoka manundu, chadem wamekumbatia nyuki kinachafuata ni manundu tuh, waya vumilie mpaka watakapo tua hilo zigo wajijenge upya.
Back
Top Bottom