buhabi
Member
- Dec 14, 2013
- 23
- 13
Ni ukweli usiopingwa hasa na watu wenye ufahamu wa siasa za nje na ndan ya nchi,siasa za kale na siasa za kisasa.
Kuna kizazi ambacho binafsi nakiita THE GOLDEN GENERATION yaan kizazi cha dhahabu.
Ccm baada ya kutaka kuishiwa pumzi kama kingunge alivosema ni kweli kabisa lakin hawa vijana ambao nitawataja baadae kidogo wanaonekana wana nia ya dhati kabisa ya kufanya kiitwacho ccm rejuvenation.
Kwa chama kikongwe kama ccm kuendelea kuwakumbatia watu na mawazo yao ya kale japo ni mazur lakin taifa linahitaji damu mpya pia.
The upcoming heros now ni JANUARY MAKAMBA
MWIGULU NCHEMBA
HUMPHREY POLEPOLE
KIGWANGALA HAMISI
MAPUNDA SIXTUS
lakin pia wakati huo huo kuna vijana ambao si vyema sana chama cha mapinduz kikawaegemea au kuwategemea
Vijana wafuatao chama kiwe makini nao sana si muda huu tu bali hata baada ya uchaguzi
RIZIWANI
SADIFU UVCCM
NCHIMBI
NAPE
orodha ni ndefu lakin kwa maoni yangu watu hawa chama kiwatumie lakin si kama vijana wa mstari wa mbele...images zao katika jamii na taarifa za ziada juu ya vijana hawa zina mashaka hivo kwa ccm mpya huwez kuijenga kwenye mabega yao.
Chama kibaki kuwaomba ushaur tu pia SERUKAMBA nae anaingia group hii.
Kwa nini kundi la akina makamba ni bora?
Hawa vijana si tu kwamba ni wasomi bali wana moyo wa uzalendo mkubwa sana.
Kazi wanazopiga nyuma ya pazia hazipimiki wanafanya mengi sana si tu kuwasaidia watanzania bali kutuliza hasira zisizo na maana za watanzania wachache
Amini usiamin laiti kama tusingekua na hao vijana wa kundi la kwanza november tanzania ingegeuka dimbwi la damu...kwa juhudi zao november tutaifikia japo kuna damu itamwagika kidogo lakin itatulia tofauti na hali bila hawa vijana .Hapa BERNAD MEMBE 100% amewasaidia pia kwa namna moja au nyingine
Kundi la pili la akina RIZIWANI halipaswi kukaa mstari wa mbele hata kidogo bali kwa uwezo wao wanapaswa kukaa nyuma ya jukwaa lakin watoe maelekezo kwa kundi la kwanza.
Images za akina Riz hazitaeleweka kwa sasa japo wanaweza kueleza jambo sahihi
Itaendelea....