Recent content by mamtam

  1. M

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    yaani we acha tu! ngoja tunyamaze
  2. M

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    maskini weee....pole sana nakuhurumia
  3. M

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    maskini wee! una moyo mzuri Mungu atakulipa
  4. M

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    duh pole sana! binaadam tuna mioyo migum sana
  5. M

    Kupaka mafuta ya nazi kuna tatizo?

    napenda sana harufu ya mafuta ya nazi yale ninayo yatengeneza mwenyewe! najipakaa mwili mzima km mtoto mchanga najisikia rahaaaaaa[emoji6]
  6. M

    Utajuaje nguo inachuja kabla ya kuinunua?

    unairamba nguo kidogo tu kiaina ili kuuzaji asije akakunasa...maana mwengine akakushangaa na kutafsiri vibaya! ukiona inavijichumvi ujue hiyo inachujaaaa haifaiiii.....hasa hivi vijora batiki n.k!
  7. M

    Leo kila mtu ataje sababu iliyomfanya akaachana na mpenzi wake wa zamani

    kanipuuzia tu....biz huwa haziiishi! hatumi msg hapigi cm na ukipiga anapokea anasema yuko biz ukituma msg anajibu short! mmembeleza sana nmemuuliza sana naona hanipi jibu linaloeleweka! nami nmempotezeaaa mwezi sasa
  8. M

    Sababu mbalimbali zinazopelekea Mjamzito kutokwa damu ukeni

    hizo ni dalili za kujifungua.....nenda hosp haraka!
  9. M

    Biashara ya Duka la Rejareja: Ushauri, Mchanganuo, Changamoto na Namna ya Kutunza Kumbukumbu

    Hii biashara unalipa hasa km utakuwa unakaa mwenyewe dukani! kwani faida yake ni hizo 50 na mia mia...ukimueka mtu kila siku akichukua buku 5 atakuuwa! kaa mwenyewe utaenjoy biashara..pia usiwe na tabia yakufunga funga duka mara kwa mara! hakikisha unafungua duka mapema na unachelewa kufunga...
  10. M

    Mashine ya askirimu!

    Habari zenu? Mimi ni mwanamke mjasiriamali biashara yangu ni ya kuuza askirimu hizi za uswazi za mia mia! nashkuru Mungu inanisaidia, nataka niweke some improvements katika utengenezaji kwani nataka nipate urahisi kutengeneza. Kipindi ndio naanza nilikuwa nafunga kwa vifundo juu baada ya...
  11. M

    mashine

    habari zenu? je naweza kupata mashine ambayo nitakuwa natengeneza askirimu zangu (hizi za kienyeji za vifuko za mia mia)!? mashine ambayo nitakuwa naeka juice yangu na waraka then iwe inajifyatua yenyewe kuzifunga zile askirimu? naombeni msaada
  12. M

    Msaada, ulimi wangu umechanika chanika

    hata mimi nipo ivo ivo tangu utotoni....!
  13. M

    Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

    tena watoto wadogo wa siku hizi wana payo kweli! kitoto kidogo miaka 16 kinatembea na mibaba mitu mizima age ya 40! k zmelegeaaaaa kwa kubadilisha wababa kila siku! kutanuka kwa k kunategemea na matunzo jins yakuisafisha kufanya mazoezi na kuituliza kwa mwanaume mmoja! sio kila cku...
Back
Top Bottom