Jifunze kuandika na kusoma kwanza ndipo ujieleze! Kuniita mpumbavu ama mwerevu hakuniongezei wala kunipunguzia utu wangu, chamsingi kama umri wako umeshapita balehe ama umevunja ungo basi ni dhahiri una kasoro toka mchakato mumba hadi kuzaliwa kwako. Pole kwa hasara waliyopata wazazi waluokuzaa!
Mawazo yako yako ni ya enzi za kijima! Dunia ya sasa kiteknolojia sii ile ya karne ya 16. Kinachokukwaza si mwanaume kuweka status bali ni contents za status husika, usichanganye vitu hivi.
Ni mtizamo wako..
Kuna watu mnachukizwa tu na mambo yasiyo ya msingi, mfano mwenzio akinenepa roho inakuuma. Mwenzio akufanikuwa unaumia , mwenzio akitingisha tako wakati wewe huna kishudu unaumia so si jambo jipya la kuhitaji mjadala wa kitaifa.
Labda jela za mbinguni..kwa mwenendo wa serikali hii Samia anatanani polisi wangekua miti ya miiba ili aioteshe kila mahali kudhibiti wote wenye mawazo mbadala na yake/wanaimvimbisha bichwa. Sina ubaya na huyu mama ila kuna jambo haliko sawa kwa timu yake inayomzunguka.
Raia wa nchi nyingine kufanya siasa? Rubbish.... Kachome familia yako moto kisha ushikie majirani jambia wakati wanakuja kuuzima kwa kigezo cha kuingiliwa mambo yako ya kifamilia! Jinga kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.