Recent content by Mammy22

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Et she/he not my type!!!!! ucweweseke tafta ulipokosea

    Good!, I thank God sina tabia ya kumponda mtu tunapoachana, inarahisisha kuendelea kuwa marafiki, kusaidiana katika mambo mbalimbali na hata kusameheana na kurudiana later kirahisi
  2. M

    JamiiForums Tanzania I- PHONE yasababisha kifo cha mrembo

    mmh, nimeogopa, laptop je?!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mkubwa wa mtandao wa Dawa za Kulevya akamatwa Mexico

    Hiyo ilikuwa ni pocket money tu, duh!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Tuachane na huyu shetani, tuangalie mambo yetu muhimu, wasituletee matatizo yao ya 90's kwetu
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kuwa mwizi bila ya kukamatwa

    Dah!, kumbe ndio inavyokuwa!, no .10, unampondaaa, kumbe ndiye anayekupoza pia, khaa
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

    pics za aina hii wapo watu wanajipiga, wanapigana wakijielewa na kwa kukubali, sijui ili wajione wanatokelezeaje maybe akijifananisha yeye na J.lo or, but wengine wanapigwa bila kujielewa, na my BF wao, wengine wanapigwa wakiwa wamelewa or wameleweshwa, huko FB na social network nyingine hawa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

    naona ishu si kufuta account pekee, ni pamoja na kuipata hiyo simu, cause anaweza akaendelea kuzipost hizo pics sehemu nyingine
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Kosa Dogo linamchafua FB now

    Why msimripoti polisi, ili afuatiliwe
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni wana JF

    Handbags, sandals, mashati ya kiume, vikoi na vipochi vidogo vya mkononi vilivyorembwa kiafrika
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania She was my my girl friend......

    Achana na Shetani huyo, atakuharibia familia yako, usipokee calls zake wala kujibu messages zake
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wadada wa jf zawadi yehu hii.

    Duh ni noma!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend seriously

    yana shaka gani, yana uajabu gani
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend seriously

    ok, nimekuelewa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Boyfriend seriously

    kihurio ndio wapi, sijawahi kupasikia
Back
Top Bottom