ATTENTION PLEASE: Majibu ya ELISA test yametoka, yanaonesha mpenzi wangu bado ni HIV+, see the attached crop screenshot.
Bahati mbaya tulienda jioni kidogo hatukuweza kuonana na daktari japo tuliomba majibu yetu na kupewa. Bado nina maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu, ELISA inaonesha...
ATTENTION PLEASE: Majibu ya ELISA test yametoka, yanaonesha mpenzi wangu bado ni HIV+, see the attached crop screenshot.
Bahati mbaya tulienda jioni kidogo hatukuweza kuonana na daktari japo tuliomba majibu yetu na kupewa. Bado nina maswali mengi sana yasiyokuwa na majibu, ELISA inaonesha...
Historia fupi ya maisha yake aliyonipa ni kuwa kuna kipindi alisumbuliwa sana na kifua, walivyompima wakamkuta na TB basi madaktari wakashauri wamcheck na VVU ndipo majibu yakatoka yupo HIV+
Majibu yale ya VVU yalimchanganya sana sababu aki-trace mapito yake yote kimahusiano yalikuwa vizuri...
Kwamba ukaacha kutumia ARV na baada ya hapo kila ukienda kupima tena unakutwa upo negative??
Fafanua zaidi, huenda una kitu kikubwa sana kwa faida ya wengi. Kama utakuwa unafahamu ulipimwa kwa vipimo gani hapo awali na kuambiwa kuwa wewe ni Positive? Umesema ulikuwa unaumwa ndipo ulipoenda...
Hahahahah uzuri umemaliza kwa kusema ni maoni yako.
Ukweli ni kwamba sipo kwenye uhusiano huu eti kwasababu binti ana mpunga na mimi ni kapuku,
Kama uwezo wa kiuchumi nipo vizuri sana tu and thanks God for that, kama elimu namzidi, umri namzidi, exposure namzidi n.k
Sometimes ukipenda unakuwa...
Naomba wataalamu watusaidie ni nini huwa kinapimwa wakati wa viral load check mpaka kuweza kusema copies 1000 za HIV viruses vimeonekana? Ni vidudu vya HIV kabisa huwa vinaonekana kiasi cha kuweza kuvi-count? au kuna formula fulani ambayo inacheck kiasi cha antibodies kilichopo kwenye damu then...
Kipindi sijui kama mpenzi wangu yu HIV+ nilikuwa napiga show za kibabe sana mpaka kupata michubuko. Sometimes nilikuwa napiga hata akiwa bleed ila bado sikupata maambukizi. Hii kitu ilinishangaza sana, kwanini sikupata maumbukizi kipindi kile maana hadi mboo ilipata sugu sababu ya michubuko.
Yap upo sawa, ila mpenzi wangu status yake ni HIV+ ila sijawahi kumuona akiugua Ukimwi, ila nimeona watu waliougua UKIMWI sababu ya kuugua kwa mda mrefu magonjwa haya ya kawaida yenye tiba huku wakiwa hawana virusi vya HIV, wengine stress tu za kimaisha zimepelekea wao kuugua Ukimwi.
Ukimwi (AIDS) na virusi (HIV/AIDS) ni vitu viwili tofauti kabisa. Unaweza kuugua Ukimwi hata kama huna virusi sababu Ukimwi ni upungufu wa kinga na unasababishwa na vitu vingi tu kama vile lishe duni, kuugua kwa mda mrefu n.k
Hilo ni swali gumu kidogo kwangu labda wataalamu watusaidie. Mimi mwenyewe honestly nilianza kuigonga K ya huyu bidada kwa nidhamu baada ya ku-confirm status yake kwamba ni HIV+ ila wakati sijui status yake nilikuwa naichapa na kuisugua kisawasawa kiasi cha kupata michubuko kabisa....nilijiuliza...
Imekuwaje nipo kwenye relationship ya namna hii na imewezekanaje sina maambukizi mpaka leo.
Jibu lake ni hili;
Nilianza ku-date na huyu mdada nikiwa sijui status yake kabisa, nilipokolea na penzi na kutaka kuoa ndipo nilipoanza kutafuta watu wanaomjua huyu dada pamoja na familia yake...
Upo sawa mkuu ila jua case yetu ni tofauti kidogo. Sisi hatukuwa tunaenda kupima kwa mara ya kwanza, nurse ndio alitutaka tupime ili mchumba wangu apate kuanza clinic ya mama na mtoto, majibu yalipotoka kuwa yupo HIV- ndio tulipomwambia nurse kuwa labda kipimo chako ni kibovu sababu sote tunajua...
Thanks mkuu, nitachukua pia huu ushauri wako. Lengo langu lilikuwa ni nyie wataalamu mtutoe kwenye hii sintofahamu tuliyoiingia mimi na mwenzangu.
Naamini kadri huu mjadala unavyoendelea najifunza vitu vipya na hata wadau wengine wanafaidika na huu uzi kwa namna moja au nyingine, hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.