Habar wakuu,
Juzi hapa nimefungua Paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.
Je, nauliza nikipokea pesa kwenye paypal yangu inaingia moja kwamoja kwenye VISA card au inakuwaje?
Na...
Habar wakuu
Juzi hapa nimefungua paypal kwamara ya kwanza, nikaunga na VISA card IlA sasa nikitaka kutuma pesa au malipo yoyote kwa kutumia paypal hela inakatwa kwenye VISA card niliyounga.
Je, nauliza nikipokea pesa kwenye paypal yangu inaingia moja kwamoja kwenye VISA card au inakuwaje?
Na...
Habar wakuu[emoji116]
Mimi nilikuwa na mahusiano na msichana mmoja wa mtaani kwetu nikawa najipigia pigia tuuh hivyo kila nikitaka najipigia mda wowote. Kumbe bana yule mwanamke alikuwa kaolewa na mtu wa wake huwa akai pale anashinda sana huko kazini kwao na kuja pale unakuta miezi 3 au 4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.