Nina mashaka kuhusu mtoto

Nina mashaka kuhusu mtoto

Habar wakuu

Mimi nilikuwa na mahusiano na msichana mmoja wa mtaani kwetu nikawa najipigia pigia tuuh hivyo kila nikitaka najipigia mda wowote. Kumbe bana yule mwanamke alikuwa kaolewa na mtu wa wake huwa akai pale anashinda sana huko kazini kwao na kuja pale unakuta miezi 3 au 4 akiondoka Tena ndo hivo.

Sasa picha linaanza hapa
Huyu mwanamke tulikuja kuachana mwaka jana IlA tukionana salami tuh basi sasa kumbe alibeba mimba mwaka jana me sina habari mapaka alipokuja kujifungua mwaka huu mwezi wa 7 na mimi nilikuwa sijui chochote sasa juzi kuna ndugu yake nae anakaa huku huku alikuwa anajua Nina mahusiano nae akanitafuta ananiambia hey Justin ujue yule jackline kaajifungua halafu mtoto kafanana naww balaa anamiezi 4 yani ww mtupu

Mimi kiukweli nilimtafuta yule jackline tukaka tukaongea badae akaniambia ukwel kuwa n mtoto wangu IlA alikuwa hana uhakika nayy anaMume me nikasema SAWA nikamuona mtoto sukulizika sana.

Sasa Mtoto akiumwa ananiambia namm nichangie chochote.
Mimi nilimjibu siwezi kutoa chochote KWA sababu mtoto anababa ake na majina kila kitu
Kiukweli nahisi hii inaweza kuwa michezo flani flani IlA kwakweli huyu alikuwa hajui mimba ni yanani so alikuwa anaskilizia kuona chata.

Namimi kiukweli sikumbuki siku niliyompa hiyo mimba maana nilikuwa najipigia tuuh

Kiukweli nahisi IlA sina uhakika nipo Katikati na pili au tatu sina haki yoyote
kama nikweli niwangu nifanyaje

1.niachane nae kwasabu yupo huku huku hana pakwenda nitaona mwisho wasiku

2.au nianze kuangaika nae ilakwamba sina uhakika wowote
View attachment 2461162View attachment 2461163
Vijana wa hovyo ni janga kwa taifa!
Iwe ni kweli au story tu, vijana wenye mtazamo wa kutelekeza watoto na wadada wanaosingizia baba wasio wa kweli, ni janga kwa taifa! Imesababisha watoto wengi kushindwa kutambua wao ni nani (identity confusions)
 
Habar wakuu

Mimi nilikuwa na mahusiano na msichana mmoja wa mtaani kwetu nikawa najipigia pigia tuuh hivyo kila nikitaka najipigia mda wowote. Kumbe bana yule mwanamke alikuwa kaolewa na mtu wa wake huwa akai pale anashinda sana huko kazini kwao na kuja pale unakuta miezi 3 au 4 akiondoka Tena ndo hivo.

Sasa picha linaanza hapa
Huyu mwanamke tulikuja kuachana mwaka jana IlA tukionana salami tuh basi sasa kumbe alibeba mimba mwaka jana me sina habari mapaka alipokuja kujifungua mwaka huu mwezi wa 7 na mimi nilikuwa sijui chochote sasa juzi kuna ndugu yake nae anakaa huku huku alikuwa anajua Nina mahusiano nae akanitafuta ananiambia hey Justin ujue yule jackline kaajifungua halafu mtoto kafanana naww balaa anamiezi 4 yani ww mtupu

Mimi kiukweli nilimtafuta yule jackline tukaka tukaongea badae akaniambia ukwel kuwa n mtoto wangu IlA alikuwa hana uhakika nayy anaMume me nikasema SAWA nikamuona mtoto sukulizika sana.

Sasa Mtoto akiumwa ananiambia namm nichangie chochote.
Mimi nilimjibu siwezi kutoa chochote KWA sababu mtoto anababa ake na majina kila kitu
Kiukweli nahisi hii inaweza kuwa michezo flani flani IlA kwakweli huyu alikuwa hajui mimba ni yanani so alikuwa anaskilizia kuona chata.

Namimi kiukweli sikumbuki siku niliyompa hiyo mimba maana nilikuwa najipigia tuuh

Kiukweli nahisi IlA sina uhakika nipo Katikati na pili au tatu sina haki yoyote
kama nikweli niwangu nifanyaje

1.niachane nae kwasabu yupo huku huku hana pakwenda nitaona mwisho wasiku

2.au nianze kuangaika nae ilakwamba sina uhakika wowote
View attachment 2461162View attachment 2461163
Huyo mwanamke atakuwa ni wa Iringa tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom