Tajiri anayekadiriwa kuwa na utajiri wa trillion 3.5 na mwekezaji wa club ya mpira nchini Simba sc kwa billion 20, halafu familia kumwekea offer ya billion 1 kwa atakayetoa habari ya kupatikana kwake ni utani mkubwa…
Offer ya tajiri kama huyu ilipaswa isiwe chini ya billion 5
Mimi naamini atapatikana akiwa hai na mzima wa afya….
Hii drama ni SADAKA YA UPATANISHO NA BABA….
1. Makontena
2. Mapato duni dhidi ya makao makuu
3. Watoto kutekwa
4. Mwendokasi
Labda huyo aliyemteka kahofia nyota yake kufifia, ameamua kusafisha nyota kimtindo…
Mimi naamini kabisa MO...
Watumiaji wa barabara hii sasa wapo mashakani, ipo siku yatatokea yale ya Mombasa -Kenya... Hatuombei yatokee ila kwakua serekali wamewashindwa hawa jamaa, navigation bado wanaendelea kujiimarisha kwa kuongeza silaha..... Huku watekaji wakiongezewa uwezo na kusahau ya mkuranga.
Hiyo ni bonge la ramani,.. Naijua hiyo ramani... 3 bedrooms, 2 toilets, kitchen, dining, sitting na store.. Halafu yenyewe ina mtindo wa chupa cha konyagi
Mimi nina hitaji linalofanana na lako,...mimi natafuta kweli kabisa wa kumuoa.. Nimekua nikiingia PM nikiwa serious,.. Lkn nakutana na kidume.. Sasa nikishakuta hilo nachoka, kwakua siko tayari kupakua kidume... Kwahyo kila nionapo post hizi, nakata tamaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.