Mvua hizi na huku mabondeni,nifanye haraka nihamie kwangu tu!!!

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
7,171
15,758
7f0a3bb80f15b74870f6921866660464.jpg
....
 
nyumba imepinda.. fundi anajifunzia ujenzi site hiyo..

anajenga nyumba bila kamba.. anategemea itanyooka kweli??
Hilo tatizo nililiona mkuu ila fundi akanitoa wasiwasi kwamba ana uzoefu wa kazi kwa miaka mingi sana...unajua mtu na fani yake tena.
 
nyumba imepinda.. fundi anajifunzia ujenzi site hiyo..

anajenga nyumba bila kamba.. anategemea itanyooka kweli??
kamba alijifunga kiunoni sasa kaitafuta hakuiona, akasema poatu nitapima na kamba wakati wa kupaua, poa tu
 
Back
Top Bottom