Recent content by mamayoyoo

  1. mamayoyoo

    Fedheha iliyonikuta ukweni nafikiria kutokanyaga tena

    Ishi maisha yako usitake kujilinganisha na mwenzako,hamuwezi kulingana hata siku moja piga kazi jikubali moyo wenye manung'uniko hata Mungu hapendezwi nao!ww ni mwanaume pambana
  2. mamayoyoo

    Kuchepuka raha

    Nimekusoma na kukuelewa mno na huo ndiyo ukweli nothing else[emoji123]
  3. mamayoyoo

    Kuchepuka raha

    Yaani leo ndiyo wamekuwa watoa nasaha tehetehe mkuki kwa nguruwe
  4. mamayoyoo

    Kuchepuka raha

    Haswa dear
  5. mamayoyoo

    Mwanamke kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

    Aisee kuna ukweli ktk hili
  6. mamayoyoo

    Mpenzi wangu kanicheat mara mbili na wanaume wawili tofauti, Inaniuma sana

    Polem uungwana endelea kumpenda maana upendo husitiri wingi wa dhambi
  7. mamayoyoo

    Tuwapende wake zetu. Nimeamini

    Umenena vyema ndg..hongera kulijua hilo
  8. mamayoyoo

    Nimedhalilika sana, mke wa jamaa yangu kaniambia nikalale nyumba ya wageni

    Usimkasirikie rafiki yako Hana shida..alijitahidi ila ameshindwa.mpe ushirikiano tu kk
  9. mamayoyoo

    Picha: Usahili post ya Mkaguzi msaidizi wa Uhamiaji - Uwanja wa Taifa

    Mungu awatendee muujiza mkuu ndg zetu hao na watoto wetu!
  10. mamayoyoo

    Njia kuu utata mtupu!

    Pole mwaya,Inuka songa mbele, Mungu atakupigAnia.wewe dumu kuwA mwaminifu tu usichoke kumtegemea Mungu.jitahidi upended kanisani itakusaidia kuzunguza machungu.
  11. mamayoyoo

    Daktari wa ngozi

    Pole ndg,namfahamu Dr.Masawe mzee mmoja pale posta mitaa ule opposite na bank ya posta karibia na sanamu ya askari ulizia zenco(dispensary)utaelekezwa
  12. mamayoyoo

    kwa iyo hauwezi kumpikia wala kufua hadi akuoe?

    Nimependa sentensi yako ya mwisho hapa!
  13. mamayoyoo

    Jamaa alivyoomba kazi.

    Duh!huyo anapaswa aisaidie polisi katika uchunguzi wa kifo cha technical manager
  14. mamayoyoo

    Tumshauri Rais: JWTZ Waende au Wasiende South Sudan

    Intelligence unit ya ya jeshi itupe kiini cha magogoro,risks,na maadui wote tuanzie hapo.
Back
Top Bottom