Recent content by Mama v

  1. M

    Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

    Hivi wewe si ndo niliskia ndo katibu muhtasi wa mwenyekiti.ama!!
  2. M

    Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

    Umeamua kunitusi ee..!?? usipotaka kunipa heshima yangu ntakulazimisha.. na usiombee..
  3. M

    SWALI:....Baba V=Mama V.....????

    Nini kimekusukuma kuanzisha mada hii!?
  4. M

    Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

    Nimekuja nitonye, huyu Erik ameshindwa kwa baba watoto ameona alete ugomvi wa madaraka kwenye ndoa yangu. angejua na mimi nimepita pale 824KJ. ataisoma namba.
  5. M

    Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

    Nimekuja sasa una lipi jingine. Uchu wa madaraka utakuuwa
  6. M

    Natangaza kuivunja ndoa ya Baba V na Mama V

    Bange bhana.., utapelekwa milembe we mkaka..
  7. M

    Maskini Baba V!!!

    ummu kulthum tafadhali bibie unaemsema hayo maneno ni mume wangu ujue nilozaa nae watoto saba na tuna wajukuu ma dazeni, kama kiswahili kimekushinda kuelewa hapo juu omba kamusi bibie na sio kukimbilia kumwaga makashfa hapa ndani...
  8. M

    Maskini Baba V!!!

    Afu wewe bi shosti nakuangalia ujue, cha kunikashifia mume wangu inahuu....!!! taratibu bibie heshima ichukue mkondo wake kabla hajaparuriwa mtu humu
  9. M

    Maskini Baba V!!!

    Bi dada kauli hizoo...... ohoo!
  10. M

    Nani awe 'JF Miss Chit-Chat' mwaka 2012?

    kura yangu kwa Arabela
  11. M

    Hatari:Itakuwaje?

    Nilishasema, hata siku moja kiroba kikawekwa kwenye friji afu kikanywewa kikiwa cha baridi, matokeo yake ndo haya
  12. M

    Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

    Jhoune , ngamenye ngimba uli nndamu ghwangu!?? ,bhule unkasi mwinangu nkafu??
  13. M

    Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

    Mmmh bi shosti, mwache kwanza akue kivyake taratibu
  14. M

    Hodi huku jamani,Mama V nimekuja

    Nimemskia Madame B hapo juu
Back
Top Bottom