Recent content by mama prec

  1. M

    Nyumba ya Maalim Self imezungukwa na wanajeshi, hakuna kutoka wala kuingia

    mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni ......kwa kifupi hawataki kuachia madaraka wameghubikwa na udanganyifu tu.
  2. M

    Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

    Ki ukweli watanzania hawajui madhara ya ugaidi .alafu vyombo vya habari mi naona ndivyo vinavyofanya vijana wachachawe na kupenda ugaidi maana kila siku habar ni boko haram cjui alshabab cjui islamic state.vinawafanya vijana wetu nao wajione wanaweza.tutangaze amani na umuhimu wa amani hii...
  3. M

    Mume hanifikishi kisawasawa

    Nakushauri angalia pia vyakula unavyomuandali baba chaja wako mpikie dona, vyakula vya asili ni vizur .mtengenezee juisi ya tende na maziwa pia juisi ya watermelon ni nzuri pia.alafu hakikisha baba chaja anafanya mazoezi ya kutosha .na msizoee staili moja kila mara.wakati mwingine kina baba...
  4. M

    Najuta: nilioa mke kwa kuvutiwa sura na umbo lake

    Wanaume wengi wanapagawishwa na mwonekano wa nje wa mwanamke bila kutambua uhalisia wa tabia ya mtu.ni hatari mno wapo hata wanawake waliopenda ma handsome kumbe wao ni michekupuko kila leo .suala la michepuko ni janga la taifa kwa wanawake na wanaume pia .mpaka imefika hatua aliyekuowa au...
  5. M

    Mtu kapigwa risasi Mlimani City Dar es salaam

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, pumzika kwa amani kaka.
  6. M

    Yusuf Makamba: Mokiwa muombee January aote nywele

    Jamani tuondoeni udini utatuweka pabaya mbona sisi ni ndugu toka awali
  7. M

    Who is Christina Shusho historically?

    I hate umbea, je, una uhakika na unachokisema.? Kama uzuri anao mtazame live. Lkn sii vizur kusema mtu usiekuwa na uhakika na unachokisema just kumchafua mtu ili nin.?
Back
Top Bottom