Recent content by Mama Jolene

  1. M

    JamiiForums Tanzania Matumizi na Faida za Asali katika afya ya binadamu

    wakuu natafuta asali ya nyuki wadogo kwaajili ya dawa. kwa anayejua inapopatikana pls nipm
  2. M

    JamiiForums Tanzania nimeitwa kazini afisa tarafa.

    nimepangwa nzega mjini
  3. M

    JamiiForums Tanzania nimeitwa kazini afisa tarafa.

    zilitangazwa mwaka jana mwezi May nafasi 145
  4. M

    JamiiForums Tanzania nimeitwa kazini afisa tarafa.

    Wakuu namshukuru sana Mungu maana nimepokea barua ya kuitwa kazini. Cha ajabu hawajatoa majina kwenye web. Kuna siri gani hapa?
  5. M

    JamiiForums Tanzania UDOM Jamani!!!!

    Udom usanii mtupu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Safari ya kwenda UJERUMANI

    Angalao kama wamekuambia uende ofisini kwao. Yaweza kuwa zali ati
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara Gani Ina faida Nzuri?

    Nunua vinguo vya watoto vya mitumba utembeze mitaan, ila jaman kama una wazo la biashara kwa mtaj wa elfu20 naona kama unatania vile!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini - psrs( usaili wa december 2012)

    Mwenzenu napata wivu nataman ningekuwa mi ndo nimepata
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini - psrs( usaili wa december 2012)

    Tuliofanya afisa tarafa mbona hatukumbukwi jaman? Aagrrr
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini - psrs( usaili wa december 2012)

    Tunaotumia simu tunaomben msaada wenu tafadhal
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mhudumu kwa bibi-mshahara 150,000 NET

    Mhudumu anapatikana, ni mtu mzima, ana uwezo wa kumlea kwa kiwango unachotaka, ni mwelewa, hajasoma nursing ila kulingana na uzito wa kazi angalao laki mbili.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini afisa tarafa lini?

    Mbona hawajatoa majina? Tulifanya interview mwezi wa kumi, hebu muulize pls yeye alipata vipi taarifa?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kazini afisa tarafa lini?

    Wajameni nauliza kama kuna tetesi za lini wataita kazini nafasi za afisa tarafa kwa wale tuliofanya interview tarehe 5 oct.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Kanumba: Ni uzembe tu? Sio Lulu!

    poor Lulu. Nakaonea huruma sana haka katoto. Laiti kangekuwa kametulia yasingekapata yote haya.
Back
Top Bottom