Kuitwa kazini - psrs( usaili wa december 2012)

salosalo

JF-Expert Member
Jun 7, 2012
595
272
Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie mtafikiwa.

Angalia kiambatanishi hapo ili ujue kilichojili
 
Attachments

  • Tangazo Kuitwa Kazini Usaili wa Tarehe 6-7, 12-14 & 19 -21 Desemba. 2012.pdf
    400.5 KB · Views: 1,042
hahahahah nimepata thanx lord lol....
Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie mtafikiwa.

Angalia kiambatanishi hapo ili ujue kilichojili
 
hahahahah nimepata thanx lord lol....
Dah, hongera saaana kwa kutoboa ozone namna hiyo maana si kazi rahisi. Ukiacha uwezo wa mtu bahati pia inanafasi yake huku ikiambatana na sara. Hongera sana once again na kila lakheri katika safari hii mpya
 
thanx meeennnnnnnnnnn kweli MUNGU mkubwaaaaaaaaaaa.......hapa napiga kitu dompo kusherehekea hilo lol....

Tehe teheeeeeeeeeee Congra sana. Ngoja namimi nisherehekee kukusindikiza kwa kusikiliza wimbo wa R-Kelly "Storm is over" na wimbo wa Kara jeremiah "Dear God". Best of luck
 
asante sana...leo nagawa pombe bureeee...karibuni tule wkend....
Tehe teheeeeeeeeeee Congra sana. Ngoja namimi nisherehekee kukusindikiza kwa kusikiliza wimbo wa R-Kelly "Storm is over" na wimbo wa Kara jeremiah "Dear God". Best of luck
 
Tatizo PSSR inamakucha ya undugu mfano hu hapa..Afisa Tawala wa Ofisi ya Rais Sekritalieti ya Ajira Doroth Ndabi ni ndugu na Kijana Fransi Ndabi....
ataacha kumpa kazi...

kinachoangaliwa ni sifa. Kama ana sifa kuwa na ndugu serikalini si kosa kwani wote waliopata ndugu zao ni maafisa serikalini. Tusiwanyime watu haki zao jamani
 
Naamini waliopata wanastahili, wala hamna haja ya kukatishana tamaa.
 
Hongereni mliopata mie nilifanya Uchumi nimekosa lakini nakubali matokeo tu. Written niligonga 90% nadhani oral ikaniangusha hongera sekretariat ya Ajira mungu awabaliki.
 
Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie mtafikiwa.

Angalia kiambatanishi hapo ili ujue kilichojili

Waliobahati hongera zao, ila tu wakatende na kusema yale taifa letu linahitaji, haina maana hata kidogo ukiwa huna unapiga kelele na kutoa michango ya maana tu, ukipata nawe watumia kikombe kilekile, tuwe wazalendo na nchi hii, ni yetu, na watotot wetu, na watoto wao................nk, hamna haja ya ukipata post ukanunue kreti za bia ukasherekea bila ya kutafakari majukumu na mzigo unaokwenda kukabidhiwa ili kuleta maendeleo ya nchi hii!

Congratulations once again!
 
Jamani naomba kwa kila alipata nafasi ya kazi apokee pongezi zake nyingi sana. Kwa wale ambao hawakufanikiwa msikate tamaa kwani maisha ni foleni kila siku inasogea polepole, hatimaye na nyie mtafikiwa.

Angalia kiambatanishi hapo ili ujue kilichojili

wengine tunatumia cm, tuwekee majina humu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom