hodi hodi wanajamii forums na kisa chakweli naomba mawazo yenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hodi hodi wanajamii forums na kisa chakweli naomba mawazo yenu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mkulasabo, Apr 9, 2012.

 1. m

  mkulasabo Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kama una mpenzi ,mke ,mchumba kisha ukangudua ametoka kumegwa bila ya wewe kumfumania lakini kukawa na mazingila ya kukufanya uhisi hilo jambo na baada ya kumbana mhusika akakili kweli nimetoka kumegwa ungekuwa wewe ungechukua hatua gani? naomba mawazo yenu
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,889
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hatua zinatofautiana kwa wote uliowataja.kuwa specific na muwazi.

  Mke?
  Mchumba?
  Mpenzi?
   
 3. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,165
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  unamsamehe tuu,ila lazima akafanye blood test kwanza na akili mbele ya marafiki zako na marafiki zake kwamba hatarudia tena.Akigoma piga chini.
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 68,267
  Likes Received: 22,830
  Trophy Points: 280
  Samehe nane mara themanini na nane.
   
 5. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Itategemea niko ktk mood gani!
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,441
  Likes Received: 9,822
  Trophy Points: 280
  Kwa hasira na wewe unammega huku ukimw3ambia kuwa unampenda sana
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  kama ni mke achana nae maana uzinzi hauruhusiwi ila kama ni demu na wewe tafuta mnyonge ummegee ili muende sawa upo hapo mkuu..
   
 8. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,625
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mke nitaweka mjadala kidogo lakini lazima aipatepate.

  Mpenzi nampiga kibuti au namtolea mbavuni.
   
 9. S

  Smarty JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  Ukishagundua ujue we ndo chanzo cha tatizo kama sio hulka yake... Unatakiwa kujifunza kufanya mapenzi not all people are gifted to be good lover! Kujitambua mwili wako kuutambua mwili wa mwenzio pindi mkiwa faraga ili umridhishe ni kitu muhimu sana...yaani wapi ukimgusa anajiskia raha.. Kutoka nje kunatokana na yeye kutokuridhika vile vile sio wanawake wote wanaoweza kudhubutu kuwambia wapenz wao kuwa hawawaridhishi.. kwa hiyo kaa nae muulize ufanye nini ili kuondoa hili tatizo...kumpiga chini au kum-lulu hakusaidii... Utawalulu wangapi?
   
 10. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 14,753
  Likes Received: 4,009
  Trophy Points: 280
  na ili kuonyesha kuwa umesamehe nane mara themanini na wewe unammega!!!
   
 11. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 14,753
  Likes Received: 4,009
  Trophy Points: 280
  kama uko kwenye mood ya kumega inakuwaje?
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,958
  Likes Received: 2,629
  Trophy Points: 280
  namwambia akaoge.....then tunaanza upya ili achoke siku nyingine asirudie.....
   
 13. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 977
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  mimi ningempongeza kwani k si bado anayo
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Ningemwambia 'duh . . . . . . .'

  afu nikaondoka zangu.
   
 15. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 741
  Trophy Points: 280
  Du, so stimu ni imagination kuwa wenzio wamemmega??? We mkali; nina uhakika hatarudia tena!
   
 16. M

  Mama Jolene Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 30, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
   
 17. k

  kisesengule Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kajifukuza mwenyewe
   
 18. princetx

  princetx JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Kama ni mke jitazame wewe umeshamega wangapi nje kama wapo mpige mkwala kisha msamehe
   
 19. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,503
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Endeleza game haisomi kilometa hiyo...
  Na usiendelee kuchunguza chunguza sana..
   
 20. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,946
  Likes Received: 412
  Trophy Points: 180
  mi ningemsukuma kama Lulu alivyomsukuma Kanumba pwaaaaaaa.......
   
Loading...