Recent content by Mama Ica

  1. Mama Ica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mke / Ndoa 2026

    Singo maza utaki???
  2. Mama Ica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ofa! Ofa! Binti anayejijua ni pisikali JF anakaribishwa chakula cha mchana na usiku

    Unatutega sio 😂😂😂
  3. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania JF challenge ya "NO REFORMS, NO ELECTION": Target replies 3K

    NoreformNoelection
  4. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu mizimu

    Unamaanisha takataka
  5. Mama Ica

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Na ukuchangia chochote pamoja na kumkula mke wake Yaani nawe walikuwa wageni wako ujue
  6. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Urusi iko mbioni kuanzisha Wizara ya ngono

    Engonga anafaa kuongoza hii wizara
  7. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mwalimu SabaSeven hakuna somojipya huko kwenye maktaba yako
  8. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Namtafuta jamaa anaitwa Mshana Jr

    Hata me nishakuulizia na kama umepokea Kristo kuwa Mwokozi wako Utukufu ni kwake
  9. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Mungu wa walokole ana nguvu sana 1997- 2019! Kumbukumbu zangu

    Nimesoma mwanza mwisho nimevutiwa na kujiona wa thamani mlokole mimi!!! Vipi kitabu bado
  10. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Wa 'Taifa Fudenge' Wao wakikosea kama huyu wa Marekani ndiyo Kwanza wanasifiwa na Wateule wao na kupewa Jeuri zaidi Kuumiza na Kutesa Watu

    Ilitabiriwa kuwa ikitokea USA ikasimika rais mwanamke ndo mwisho wa dunia yaani ujio wa Kristo na mtabiri aliongezea kuwa teknologia itakuwa juu maana kutakuwa Magari Mfano wa Yai na Magari hayo hayatahitaji Dereva. Na akaongeza kuna taifa dogo kutoka Mashariki mwa Dinis litatengeneza nyukilia...
  11. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Enoch kinawataja malaika 200 walioasi ambao ndio waliiba Siri na teknolojia za mbinguni kisha wakamfundisha Binadamu

    Hiki kitanda Kipo copy ya kiswahili??? Na kama ipo naomba
  12. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Kumbe Adamu alikuwa na mke zaidi ya Hawa?

    Kwanini mabinti au hakupata uzao wa kiume??
  13. Mama Ica

    JamiiForums Tanzania Secret: Ukweli kuhusu Sadaka ya Kuchinja Wanyama na Kutoa Damu

    Atekeketee mpaka haishe cjaonja iyo nyama waiiiiiiiii labda sio mimi 😂😂😂😂😂 maana Nina uhakika nisingekosa kuweka Pilipili, limau na chumvi na chachandu ya kutosha 😂😂
Back
Top Bottom