hee! nilishakwambia, usijitengenezee format zako za kupata kazi, kila shirika lina taratibu zake,hupendi kufuatilia mwenyewe, unapenda hearsay.ni utaratibu wa chuo kuwa kila anayeitwa kwa interview anapaswa, mark me, hawaongelei kusajili wanafunzi, wanaongelea habari ya tangazo la kazi,bingwa wa...