Wadau KIU HAITAMBULIKI UGANDA NA KENYA WAMEFUTA DEGREE ZOTE ZA WALIOSOMA KIU BONGO VIPI?

KIU banned to operationalize PHD's courses in Kenya not bachelor degrees, here in Tanzania, KIU is not teaching students PHD courses but first degree. So its ok for those who studied first degrees at KIU.

nashukuru kwa kumuelewesha mdau,ugomvi sio kwenye certificate,bachelor wala masters.mgogoro wao na serikali ulikuwa katika kutoa PHD.MPAKA UCHUNGUZI UFANYIKE.LAKINI NAONA WATU WAMEDANDIA GARI KWA MBELE.wEPESI WA KUSOMA TAARIFA NA WAGUMU WAKUELEWA.WAMEKALIA USHABIKI TU.
 
Back
Top Bottom