Recent content by mama beauty

  1. M

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    naomba usimdharau mumeo wala kumtesa,koz remember what goes around comes around
  2. M

    Vitu vinavyonikera ndani ya ndoa

    pole dada kuwa na mwanaume kochi,hana kazi yeye ni kukaa kwny kochi na kugombania remote na watoto,anyway yote majaaliwa.ila huo ukali na manung,uniko yake ni kutokana na inferiority complex alinayo koz hana kazi anahisi unamdharau,pole sana,kaa nae chini mwombe msaada tu akusaidie atakuelewa.
  3. M

    Mke wa rafiki yangu katolewa mimba na rafiki yangu

    kaka,nahisi huna ndoa,basi acha tulio ndani tuyacheze masebene,we ulie nje angalia tu hujui yanayojiri ndani,kaa kimya utashikishwa ukutwa,ohoooo
  4. M

    Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

    atakua kajifunza,msamehe mkae chini muongee,madogo hayo yanaongeleka.kuna makubwa kaka,acha kabisa.nenda kamtoe ndani,ili usipandikize mbegu ya chuki ndani ya moyo wa mkeo.
  5. M

    Mke anahitaji kushiriki tendo la ndoa mara ngapi kwa wiki?

    fanyeni kila siku,cha msingi msibakane,i min wote muwe tayar kimwili na kisaikolojia,ku do raha.ila sasa kazi yako isiwe ndo kila siku hauko tayar kisaikolojia na kimwili koz ya uchovu,walah utagigidiwa mke.
  6. M

    Hamu ya kufanya mapenzi na walionizidi umri

    kavurugwa huyu achaneni nae.leteni mada za maana sio mada za kutuambia wewe ni nani,kama huna mada tafuta jimama
  7. M

    Friends with benefit, nimepewa masharti magumu

    dada,tafuta wako uwe nae benet,achana na mume wa mtu,unajua ana mke na unajua wanaume ni dhaifu kiasi gani,usiharibu mahusiano ya watu ndani,laana itakua juu yako,acha kabisa,eti ushauri,mhhh
  8. M

    Usaliti katika ndoa

    mhhh,ni ngumu kwa mwanamke kusamehewa,ila wanawake tunaroho za huruma sana,huwa tunawasamehe,so uamuzi wa kusamehe au kuacha anao mume,nyie mnapoteza muda tu
  9. M

    Nimefuta namba ya mke wangu, na watu wengine wenye tabia kama hizi

    unajishtukia bhana,lakin it sounds ni madongo ya kweli ndo maana yanakuuma,hahah:A S 11:
  10. M

    Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

    mteule wa mungu huyo,malaika wake mlinzi anamlinda na kutembea nae,ndo maana anasema huwa anaongea nae usiku,na hiyo mishumaa ni malaika mlinzi kamwangazia,miwili uliwasha wewe na miwili iliongezwa na malaika mlinzi,roho yake safi anauwezo wa kuona yote hayo
  11. M

    Mwanangu ana miaka 6 lakini huwa ananishangaza

    kama wewe ni mkatolliki,tafuta padre na wachungaji,waelezee,then wao watakushauri na kumwombea,watoto huwa wanaona vitu vingi sana wakati wa usiku,so usipuuze bhana ,mungu amsaidie
  12. M

    Hakuna perfect relationship duniani

    hata biblia inasema samehe mara 7 mara 70,ila jamani kuna kero za ajabu sana ktk mahusiano,na wengine esp wanaume they dnt care vitu wanavyofanya,wanadhan wanawake tuna roho za chuma,kuna kuchoka jamani,maana ingekua maudhi yanaacha tobo,hakuna moyo wa mwanamke hata mmoja duniani wenye nafas ya...
  13. M

    Zijue aina nne (4) za michepuko

    alutakontinyua michepuko,inapunguza gubu na stress ktk njia kuu,kiroho kwatu
  14. M

    Hadithi mpya ya kusisimuwa uchawi wa mama mkwe

    tunasubiri mwendelezo wajameni,umeingia mitin na hadithi nzuri
Back
Top Bottom