masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,798
- 16,812
kuna watu hawatakagi misamaha
UKIMKOSEA NDO BASI
UKIMKOSEA NDO BASI
aghrrrr kuna watu.wanamaudhi hadi unatamani umtafune nyama
Kusameheana kupo, but dont forget the deal breakers
kuna watu hawatakagi misamaha
UKIMKOSEA NDO BASI
Yap unahisi sijui
yes,bt ukiwa na mtu unaeamini unampenda ucwekeze ktk kusaka mapungufu yake cz sote ni wanadamu tunakosea sana kinachofanyika nikuvumiliana nakureekibisha yale yanayozidi unles km mmeingia kwenye mahusiano kila mtu kutafuta maslahi kwa mwenie.labda yakiuchumi so yakikosekana ndo mnataftiana sababu yakumwagana
Umetendwa?
Lipo pumziko..
Na damu yake uinywe....
kuna watu hawatakagi misamaha
UKIMKOSEA NDO BASI
mkuu si kila pungufu linavimilika
hakuna binadamu mkamilifuNikweli kabisa haitakiwi mtu uishi kwenye mahusiano ambayo unakuwa mtumwa ninachomanisha nikwamba unapoona mwenzio ameeanza kuzingua lazima mjitahidi kuzungunza kwa lengo la kuwekana sawa unajitahudi iwezekanavyo Ili hata km mnatemana hata jamii haitakuhukumu sasa Ninachokiona kwa mahusiano ya kisasa watu wanaviziana baada ya malengo ya mmoja wao kutotimia so anatafuta sababu zakijinga tu ila wamwagane akatafute kambi nyingine....