Recent content by Mama BA

  1. M

    Tanzia: Sethi (bikira wa kisukuma) amefariki dunia

    Nimeona whatsap kuna ndugu yake kasema kifua mapafu yalishindwa kufanya kazi. Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  2. M

    Gazeti la Nipashe limepotosha vikali

    Umetumwa mwe.hu wewe, kumbuka hizo ni pesa za hayo wanayoyaita mabaki, kwamba yako na 30% ya dhahabu yote ilochimbwa, sasa piga hesabu kama hizo trillions ni za 30% je za 70% ni ngapi? Kwanza we ni American citizen nashangaa ya huku yakuwashia nini.
  3. M

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Unamaanisha huelewi kwa nini waliapishwa?
  4. M

    Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!

    Yaan nyie watu ni mijib.wa kabisa, mambo ndo kwanza yameanza kakurupuka kwa lipi? hayo mambo ya sheria kwani kamati ishawasilisha taarifa za utafiti wao juu ya hili swala? mnatia hasira sana.
  5. M

    Tundu Lissu: Hotuba ya Rais Magufuli kuhusu Makontena ya Mchanga, inatia shaka ya rule of state

    Jamani wapinzani wamesema sana kuhusu mikataba mibovu na kwenye hili sasa Ccm tuwainge mkono kwa kuidai ifumuliwe na kuangaliwa upya lissu nimekuelewa, Rais wetu lazimisha hilo na ninaamini hilo litakuja soon maana tume ya pili inafuatilia hilo pia
  6. M

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Political will ndo ilkuwa tatizo, ndo maana unachukiza kuona mambo ya hovyo tulokuwa tukiyalalamikia miaka nenda rudi yameanza kushughulikiwa badala ya kumuunga mkono Rais tunakebehi..
  7. M

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Yaan nyie watu hizo bongo zenu....hayo mataifa mengine pia wanachimba wao wenyewe na washirika wao so wote lao moja na kote wanaiba hivyo ni utashi wa nchi husika kaamua kuzuia wizi au viongozi kaamua kuiba nao.
  8. M

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Huyo mzungu wako kakupa ushahidi upi kwamba hawayaexctract? kazi ndo kwanza imeanza.
  9. M

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Kilaza wewe ulisikiliza vizuri report? kamati ilieleza wazi na kusema ushahidi upo unaoonyesha kwamba hayo madini huwa wanayaextract na kuyauza, kama gharama za kuextract inazidi thamani yake kwa nini wayaextract? Mnatia hasira sana washe.nzi nyie.
  10. M

    ACACIA wadai kutoshirikishwa katika ripoti aliyokabidhiwa Rais Magufuli

    Sahau, unadhan nini ilikuwa haja ya kubaini wizi kwanza? baada ya hapo tunaenda kwenye sheria sasa uone kama hawajakimbia wenyewe.
  11. M

    Kwenye sakata la mchanga wa dhahabu, nafahamu ukweli wa ndani

    Mijitu ya aina hii ingekuwa inanyongwa tu, kuna mambo yanatia hasira sana..
  12. M

    Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

    Hawa watu wanachekesha sana, kama bado kunamtu anawaamini aisee hospital ya wale jamaa zetu pale Dodoma inawahusu, walisema alikuwa Mwanza bottom (night club), leo wanasema alikuwa Malaika, eti kampuni imefirisika mpaka Samwel Nyalla kaamua kuondoka, mtu alikuwa mahututi India kwa matibabu...
  13. M

    Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

    Hahaha..wazee wa ngada wanatetemeka, mnachokiogopa ni nini hasa? nishaanda popcorn za kesho asubuhi, kwa nini hamtaki kuusikiliza ukweli lakini?
Back
Top Bottom