ACACIA wadai kutoshirikishwa katika ripoti aliyokabidhiwa Rais Magufuli

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia imetoa taarifa kwa umma na kueleza kuwa kamati iliyofanya uchunguzi kuhusu mchanga wa madini haijawapa ripoti ambayo Rais John Magufuli amekabidhiwa leo.

Katika taarifa hiyo, Acacia wamesema hawajui ni kwa kiasi gani ripoti hiyo itakuwa imeizungumzia kampuni hiyo lakini waliipa ushirikiano kamati hiyo wakati ikifanya uchunguzi.

Hata hivyo Acacia wamesisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho wanazalisha na huwa wanalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.
 
Ha ha ha haaaaa

Hawakuhitajika katika hili, utafikiri wanaishi ndani ya makontena eeeeh

Naona shares zao zinazidi kuporomoka hadi muda huu wanahaha na kutoa updates kwenye website yao.
 
Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia imetoa taarifa kwa umma na kueleza kuwa kamati iliyofanya uchunguzi kuhusu mchanga wa madini haijawapa ripoti ambayo Rais John Magufuli amekabidhiwa leo.
Katika taarifa hiyo, Acacia wamesema hawajui ni kwa kiasi gani ripoti hiyo itakuwa imeizungumzia kampuni hiyo lakini waliipa ushirikiano kamati hiyo wakati ikifanya uchunguzi.
Hata hivyo Acacia wamesisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho wanazalisha na huwa wanalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.
Harufu ya MEYA fulani jijini Dar naisikia hapa
 
Hawa akasha wasituzingue, kwani hiyo ripoti ni yao hadi wapewe?, akiishapewa aliyewatuma, then yuko huru isambazwe na hao Akasha watapewa copy yao.

Wamedai wametoa ushirikiano, ila ushirikiano wa kweli ni kuonyesha stakabadhi za malipo ya fedha wanazolipwa wao kwa kuuza mchanga huo, tukilinganisha na fedha walizotulipa sisi!.

Paskali
 
Badala ya kusubiri hiyo ripoti waangalie isije kuwa wako miongoni mwa wale ambao oda imetolewa kwa vyombo vya ulinzi na usalama kukamatwa
 
Kampuni ya uchimbaji wa madini ya Acacia imetoa taarifa kwa umma na kueleza kuwa kamati iliyofanya uchunguzi kuhusu mchanga wa madini haijawapa ripoti ambayo Rais John Magufuli amekabidhiwa leo.
Katika taarifa hiyo, Acacia wamesema hawajui ni kwa kiasi gani ripoti hiyo itakuwa imeizungumzia kampuni hiyo lakini waliipa ushirikiano kamati hiyo wakati ikifanya uchunguzi.
Hata hivyo Acacia wamesisitiza kuwa huwa inatoa taarifa kamili ya kila kitu chenye thamani ya kifedha ambacho wanazalisha na huwa wanalipa kodi zote stahiki kwa kila madini yanayotakiwa kulipiwa.

'Wameshirikishwa' kwa miaka 17, leo ona tumepata nini na huo 'ushirikishwaji'. Hata aibu hawana?
 
Hawa akasha wasituzingue, kwani hiyo ripoti ni yao hadi wapewe?, akiishapewa aliyewatuma, then yuko huru isambazwe na hao Akasha watapewa copy yao.

Wamedai wametoa ushirikiano, ila ushirikiano wa kweli ni kuonyesha stakabadhi za malipo ya fedha wanazolipwa wao kwa kuuza mchanga huo, tukilinganisha na fedha walizotulipa sisi!.

Paskali
mkuu mapendekezo yanasema walipe fedha zote accruing kwenye hiyo ripoti,how come wasiiulizie...aliyeituma kamati hayuko huru kuwapa au kutowapa,nasema ni lazima kuwapa,the brand is at stake here,probably wataitumia kama basis ya kwenda arbitration
 
ebb3f03f4fce373ecb88621bbcafbe39.jpg
 
Wasitake kutuzingua na wakae wakijiangalia, ripoti ya nchi nzima hii na aliyeiiagiza ni commander in chief of army.
 
Back
Top Bottom