Nauliza kwa mwenye ufahamu wa bei ya makabati ya nguo ambayo hayana mlango. Yapo kama shelves pale service road ya kwenda Lufungira kutokea Mwenge ni kiasi gani?
Habari,
Je, unajua wapi naweza kupata msaada wa kupata uwezekano wa usajili wa Bolt na Uber. Nime download app ila shida ipo kwenye leseni na kazi ya gari. Vyote ninavyo ila vile vyenye vigezo sina. Naomba msaada juu ya hili.
Help a friend
Mnamo mwaka jana 2022, Serikali ilitangaza maboresho ya mfumo wake wa manunuzi.
Je, tayari wameshatangaza mfumo mpya utakuwaje na utaitwaje na kupatikana vipi?
Naomba msaada.
Habari,
Mimi ni kijana nina idea ya kutengeneza app kwa soko la Tanzania na baadae inaweza kutanuka kwenye nchi za jirani. Ni idea ambayo tatizo lake bado watu hawajalitatua hivyo kuna uwezekano lika tick. Shida Kuu ni sijasoma mambo ya IT Na sina hela nyingi za kuweza ku finance project nzima...
Je, kuna haja ya kuendelea kutoa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne na cha sita kishule ikiwa bado elimu haijawa na uwiano unaofanana?
Ubora wa elimu haulingani? Kila siku wenye miguu watakua wa kwanza kwenye mbio na wasiojiweza na tutaendelea kuwapongeza?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.