M MalumeNdago Member Joined Jan 8, 2018 Posts 17 Reaction score 19 Dec 7, 2023 #1 Hivi NMB wanahuduma ya kuongeza mwezi mmoja wa rejesho kama mtu unaona mwezi huo kuna uwezekano wa kuchelewa kurejesha mkopo?
Hivi NMB wanahuduma ya kuongeza mwezi mmoja wa rejesho kama mtu unaona mwezi huo kuna uwezekano wa kuchelewa kurejesha mkopo?
M malembeka18 JF-Expert Member Joined Jan 26, 2018 Posts 3,757 Reaction score 4,423 Dec 7, 2023 #2 Kwanza ulikopa shingap
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 38,070 Reaction score 57,721 Dec 7, 2023 #3 Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, nenda ofisini kwao ukutane na afisa mikopo, muweke mambo sawa.
Hakuna kinachoshindikana chini ya jua, nenda ofisini kwao ukutane na afisa mikopo, muweke mambo sawa.