Habari zenu wadau,
Nilikutana na hili tangazo na nilichokiona hapo chini sikukipenda.
kwamba mombaji kazi hiyo awe muhindi au mwenye asili ya kihindi, je hili ni sawa?ubaguzi unaendelea humu humu nchini kwetu.In maana hao wahindi ndo wanaelimu zaidi kushinda sisi wabongo.
Mnalionaje hili...
Mkuu napingana na ww kwenye hili,wazungu wenzetu wameshaendelea sana na sio ugumu wa misha ambao umewafanya waache kuzaa.Huko ulaya na chi nyingi zilizoendelea vyakula na vitu kama gas ni rahisi sana.Hapa kwetu serekali inapiga kampeni ya watu kunywa maziwa wakti mtanzania wa kawaida kunywa...
Ni kweli unalolizungumza mkuu,hapa inabdi kuandamana.kukaa kwentu kimya ndo kunasababisha kuzidi kuumia.Inabidi wananchi tuandamane kushinikiza serekali ijali wnanchi wake na gharama za maisha zishuke.Kila kitu kipo juu mishahara midogo tutafika wapi?Jamani watanzania tuamke tuache uwoga gata...
Habari wadau,
Nomba tuchangie hili na vipi tuta ipress serekali kuingilia kati katika biashara hii huria.
Jana nimetoka kazini nikipita sehemu kununua gas ajili ya matumizi ya nyumbani,nilinunua gas kwa tsh 52,000 na yule muuzaji akaniambia kuanzia jumatano gas itakua inauzwa tsh 58,000 roho...
Habari zenu wadau,
Naombeni msaada kwenye hili.
Mimi naishi maeneo ya uswahilini ambako hakujapimwa.Jirani yangu ana mnazi ambao upo barabarani kabisa na njia ambayo ndo mimi napita na gari kuingia ndani kwangu.Gari yangu inapita kwa shida sana yaani nikifika hapo kwenye huo mti inabidi niwe...
Me nafikiri wazo lako si baya,ila kwa nchi yetu kinachotakikina nikureview hiyo mitaala kwani ni mibofu na waalimu wenyewe ni wabobofu,wanachojua ni kuchapa wanafunzi na wala sio kufundisha.Nchi hii quality of education ni nzuri na ndio maana wanafunzi wanafeli.kumfundisha mwanafunzi ni process...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.