Recent content by maliyamtu

  1. maliyamtu

    Hii changamoto ya majungu kwenye ajira mnapambana nayo vipi wenzangu?

    Bora hapo kuna majungu tu,tupo sehemu zina majungu na uchawi juu so inabidi ufanye kazi ukazane kuomba na upambane na majungu. Ila ukifanya kazi kwa bidii tu majungu yanakuogopa
  2. maliyamtu

    PreGE2025 Kama si itifaki ya Dunia Tanzania 2025 hapakuwa na haja ya Uchaguzi wa Rais

    Hii nchi Unaweza ukapata hasira had utukane mtu
  3. maliyamtu

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Pole sana mkuu ila kubali au ukatae huyo rafiki ako ana kitu rohoni mwake juu yako. Angeshindwa kukupost bas hata sim ya taarifa tu kuwa hospital wamesharuhusiwa ili usihangaike tena kuwafuata huko napo ameshindwa. Huyo ni wale marafiki ambao unamsaidia alafu anakuona kama unajipendekeza au...
  4. maliyamtu

    Anapost wanaume walionunua magari na chattings zao status wakati mimi niko kwenye hali ngumu kiuchumi

    Sio ushamba uko sahihi sema tu akili za wanawake sijui wakati mwingine zikoje. Mwanamke ukishakuwa na mahusiano committed unatakiwa kujichunga sana hata aina ya watu wa kuwasiliana nao
  5. maliyamtu

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    Yani nimekua mteja wa huu uzi,, nimesafiri niko sehemu ina shida ya network bas kila wakati najitega mahali kuona kama bwana TAI DUME ameshafanya jambo lolote.
  6. maliyamtu

    Ama kweli ndoa ndoano

    Itamsaidia
  7. maliyamtu

    Ama kweli ndoa ndoano

    Kuwa mwanamke ni ngumu sana sjui kwann tuliekewa hiki kitabia chakupenda pesa. Hakuna mwanamke asopenda pesa ya kupewa ni vile tunazidiana utashi wa kudhibiti tamaa zetu. Huyo dada bila shaka alirogwa na ukwasi wa mshkaji akakubali kuolewa Sasa sahvi mapesa yameondoka na yeye upendo umetoka...
  8. maliyamtu

    Ama kweli ndoa ndoano

    Broh nakupungia mkono
  9. maliyamtu

    Ni nani huandaa maigizo ya CCM?

    Mwanzo nlipowaona tu nlijua ni msiba Sasa kuangalia vizuri Wana sare za kijani eti hawakutegemea mwenyekitii kufika kwao duuh. Maigizo Yao low quality
  10. maliyamtu

    Leo jioni nimepanda mwendokasi baada ya kupata breakdown lakini kilichonitokea aisee wanawake hizo nywele muwe mnaosha

    Siku nyingine ukipata break down request usafiri binafsi unatembea mwenyewe ni salama zaidi.
  11. maliyamtu

    Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

    Imebidi nicheke kwanza,,kama anataka ku give up a give tu ee
  12. maliyamtu

    Kwanini Tanzania tunawahitaji DP World?

    Katika kikao cha Jana cha serikali na wafanya biashara wa bandari kama mtu unauelewa ukiangalia tu walivyokua wakizungumza unaweza kujua kabisa kuwa hata hao viongozi wamepata mashaka makubwa dhidi ya hao DP World na Sasa ni wanafanya tu ilimradi kukamilisha matakwa Yao maovu. Aliongea yule...
  13. maliyamtu

    Nifanyeje ili niwe na mikono milaini?

    Labda shemeji enu anaumia akishikwa huko down
  14. maliyamtu

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Caryn huyu anawezakukufanya uishi kwa majuto sana Annie ndo aina ya mwanamke anakufaa seems Yuko humble sana
  15. maliyamtu

    Hatma ya maisha yangu ipo mikononi mwa kijana wa Buguruni

    Kwenye hili la Michelle kumtaka BM kwe kampuni yake ndo na Mimi Sasa naamini kuwa inawezekana Mzee anahusika na kupotea kwa mzigo maana nakumbuka Michelle alisema Mzee ndo amemshauri akaongee na BM Ili awe dereva wake
Back
Top Bottom