Recent content by maliwato

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jambo!

    Karibu sana :(
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ametembea naa wanawake watatu akitafuta mtoto wa kiume

    Napita tu niko kituoni
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa sijashuhudia ndoa hata moja ya JF iliyodumu!

    Bora mfunguke maana humu waume zetu ndio wanashinda huko MMU NA kwenye hizo PM . shauri yenu mtakapo funguka itakuwa kuchelewa baba nanii niniii rudisha moyo wako nyumbani baby wangu :A S wink:
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitakaa nimwamini mwanamke maisha mwangu

    Wicked world
  5. M

    JamiiForums Tanzania kama kawaida yake kuotesha tena

    tayari kashampachika tena tumbo house girl. wewe kiboko na unafaaa kweli kweli. naona mahouse girl wana test ya kipekee kwake. chooni fasta fasta sasa mimba haya uso wako weee. :high5:
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meseji niliyoikuta kwenye simu ya mke wangu

    kumbe huwa inauma eeh. nyie wanaume mlioko humu mnajua wake zenu wanapata sms ngapi kwenye simu zenu tena za kuumiza na wananyamaza? wanalia wanachoka? mkuki kwa nguruwe. kama wewe unaweza kucheat hata hata nagg h/made au ndg wa mkeo hata yeye ni mwanadamu. vumilieni kama vile ambavyo wake nao...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Faraja

    Subiri wazoefu waje. Mimi ndio kwanza nina miaka 10 uzoefu bado huku kwenye ndoa experience inatakiwa ya miaka 15 kwenda mbele..
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sahihi mkeo kufanya haya?

    Ungekuwa mwanaume wa ukweli ungechukua jukumu la huyo mtoto. Apate hujduma zote kama baba yake kutoka kwako. Inaelekea umeshindwa kufanya hivyo ndio maana mama yake anaangaikia maisha ya mtoto wake na nyie wanaume wengi mmekuwa hivyo ulipokuwa unampenda huyo mama si ulijua ana mtoto na jukumu la...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwana tabia zake

    hilo unaloongelea ili mradi ndio nini maana yake
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwana tabia zake

    uzinzi kwao ni sawa lakini kwa wanawake aaha ehee kumbe inaumaga eeh. kama unajua kwani wanawake wao wamewekewa superglue ama? kwamba aiingii ?
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwana tabia zake

    mimi pia nina limwanaume limenichosha kama vipi njoo tusaidiane machungu tuliyonayo. bora yako wewe unayekumbuka kupiga na simu..
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechoshwana tabia zake

    ukitaka kumwacha usiulize kwani mlipokutana nakuamua kuoana mlimshirikisha nani. mwache tafuta wako naye atapata wakwake .....
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa matendo yake namchukia huyu mwanaume

    hivi kwanini sijawahi kusikia baba au mume akiambiwa apige goti aomuombe Mungu aokoe ndoa. kwani ndoa ni ya mama peke yake? au wa mama tu ndio wanapenda ndoa zao ziwe salama? pole mpz hayo yanayokukumba yametukumba wengi wanaume ndivyo walivyo hasa wakianza kushika vijisenti bac kila mwanamke...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda, Nampenda....nimekuwa addicted kwake bt aliniacha ghafla...ni mwaka sasa nateseka!

    kama masalia bora tu watu8 hakuna tatizo . huenda na mimi nimasalia maana nimeachwa sasa unategemea nini
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda, Nampenda....nimekuwa addicted kwake bt aliniacha ghafla...ni mwaka sasa nateseka!

    i need a man ni PM tuwasiliane am serious. ulivyotendwa na mimi hivyo hivyo njoo tuliwazane
Back
Top Bottom