Himidini
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 5,534
- 4,193
....TEH TEH nashukuru sana, btw karibu kwa semina ya Mwl Mwakasege@ jangwani
^^
asante..
^^
....TEH TEH nashukuru sana, btw karibu kwa semina ya Mwl Mwakasege@ jangwani
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat mara nyingi na mara chache nimekuwa nikigundua usaliti wake.sishangai sana kwani familia yao wote ndivyo walivyo.
kiufupi tulianza maisha tukiwa hatuna kitu kabisa lkn kwa sasa tuna biashara gar zuri nyumba kifupi mume safar za nje ni nying yan tuseme levo yake yeye tuloanzia maisha na sasa yupo juu..
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.
kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili
Funga na kuomba. Huyo ni shetani tu anataka kuharibu mahusiano yenu. Au huenda wewe ukawa tatizo. Sometimes wanawake tunajiavhia sana. Hatuoshi vizuri hata papuchi zetu...tunawazoea sana wanamme wetu...hata bikin au night dresss hatuvai tena. Tunakalia kuvaa manguo yasio na mvuto chumban kwa waumme zetu. Pole mwaya...nakushauri usali kwa imani

haya ndo matatizo ya ile team anayoikataa lara 1.true lov and growing together,yaani mkishapata anakuona ww namna gani vipi.......ila mawazo yako ya kufungua bness nyingine ni mazuri, do that, kuachana sikushauri,ni maamuzi yako tu.....Maombi ndo silaha yako,tena uwe deep sio maombi ya dakika mbili....coz mama ndo anabeba na mlinzi wa familia,bahati mbaya wanawake wengi tumelisahau hili...................ss km hyo familia yote ipo hivyo na ulilijua hilo,ilitakiwa umuandae huyo mtu wako b4 hyo ndoa yenu kwa kumuombea tu abadirike,coz unaweza kuta hyo ni family curse.......remember kesho yako inaandaliwa leo!!!!!!!!!cc: lara 1, kibibi jongo, Munkari,Miss strong
we si ulisema mkeo anakujambia?
Are u lesbo?
Au ndo kuja kupotezea watu muda wao kudiscuss imaginary things??
Mkalimani haraka
Kumbe wewe ni ke halafu una mke anaejamba!!!!?
we si ulisema mkeo anakujambia?
Are u lesbo?
Au ndo kuja kupotezea watu muda wao kudiscuss imaginary things??
Majanga........Humu ndani kuna mambo lol
umwachie si utamfaidisha ..ukishaanzisha ya kwako na hiyo unaifilisiNa nilikuwa namaanisha kupata mtaji wangu apo nimwachie biashara yake nami nikaanze yangu asante kwa ushauri
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat mara nyingi na mara chache nimekuwa nikigundua usaliti wake.sishangai sana kwani familia yao wote ndivyo walivyo.
kiufupi tulianza maisha tukiwa hatuna kitu kabisa lkn kwa sasa tuna biashara gar zuri nyumba kifupi mume safar za nje ni nying yan tuseme levo yake yeye tuloanzia maisha na sasa yupo juu..
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.
kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili
habari za humu
naamini wote wazima kabisa
nimeamua nije humu mnishauri kwani nipo njia panda
nina mume ambaye nimeishi nae miaka 7tuna mtoto mmoja wa kiume nina
mume wangu amekuwa akinicheat mara nyingi na mara chache nimekuwa nikigundua usaliti wake.sishangai sana kwani familia yao wote ndivyo walivyo.
kiufupi tulianza maisha tukiwa hatuna kitu kabisa lkn kwa sasa tuna biashara gar zuri nyumba kifupi mume safar za nje ni nying yan tuseme levo yake yeye tuloanzia maisha na sasa yupo juu..
Nimemcumilia miaka yote hiyo lakn sasa nahisi hata uchumi utayumba kwa ajili ya wanawake alonao kila kona,hapa ninavyoandika nahisi kasafiri na mpangaji wetu kwan kuna siku nilikuta wamepakizana kwenye gar akadai kaomba lifti tu.
kifupi nimechoka kuvumilia nilichoamua ni kuifilisi biashara ninayosimamia kimya kimya nijaze pesa kwenye ac yangu ikitosha mtaji wa kwenda kuanza maisha nimwambia imetosha endelea na maisha yako.
haya ndiyo mawazo yangu
lakin nahitaji mawazo yenu piya kuhusu jambo hili
Well said Xriss! Hata mimi ni team growing old together! Ila mume hana!!!! Akimuendekeza atamuua! Hata hiyo growing old together haitakuwepo!
Inatia hasira mume wako anavua vua chupi kila kona! Unaaibika mwanamke sana!
Ni Neema ya Mungu pekee yaweza kubadili kupitia maombi.
Otherwise ni kujitenga naye tu!