Ni sahihi mkeo kufanya haya?

Ni sahihi mkeo kufanya haya?

Kwa mara moja c mbaya ila km ndo ishakuwa mazoea kuwa makini
wanatakiwa waje home kwako huko mtaani kuna walakini pengine hata c baba zke wadogo ni majamaa wengine tu
CHung amzigo wako
 
Je ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.

Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.

Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?

una uhakika hao ni baba zake wadogo wa ukweli? Hata hivyo haitakiwi wapeane appointment za kwenda kukaa na kuongea sehemu yeyote ambayo hauridhiki nayo. Wakija kumchukua mtoto kwenda kukaa nae hiyo haina matatizo, lakini sio waje wamtoe mkeo hata kama alikuwa shemeji yao.
 
Hi mambo ya kuoa mwanamke aliyeisha zaa kwangu hapana, tena hapana kabisa. Siku nyingine unaweza kurudi toka kwenye shughuli zako na unakutana na men 1 imekaa sebuleni kwako inapata kinywaji, ukiuliza unaambiwa huyu ndio baba nani? Pressure za nini bana, ila shughuli tena iko hapa, hawa ambao nao hawajazaa nao mmh, wameisha kunywa vidonge vya majira mpaka basi, wengine wanaweza kukaa hadi mwaka hawaendi kabisa kwenye zile siku zao, yaani full majanga!
 
Kwani mkuu uliamua kumuhudumia kwa kila kitu huyo mtoto ikashindikana? Hebu amua utamuhudumia wewe kwa kila kitu na uone kama wataendelea kukutana huko vichochoroni
 
Mchawi ni huyo mwana mama
Mjinga waweza kuwa wewe
Muhanga ni huyo mtoto na wa kwenu kama wapo
Sisi na hao baba wadogo tupo kama watazamaji

Tafakari chukua hatua
 
Je ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.

Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.

Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?

mnashurikiana nao acha ujinga, kwa nini hivi mnauliza majibu?
 
Nenda na wewe ukuawe pamoja nao ktk kujadili , labda kama kuna ambayo hujayaweka wazi hapa

Vipi wewe mwenyewe unamhudumia huyo mtoto kwa asilimia ngapi ili mama asipate sababu hizo????????
 
Ni vigumu kwa binadamu kumtendea haki mtoto asiye wake! Huyo mkeo anaona ww humtimizii mtoto wake anatafuta alternative hatuwezi jua mlikubalianaje kabla ya ndoa yenu kuhusu huyo mtoto! Ongea na mkeo km unataka kuishi kwa amani wapende watoto wote kwa usawa bila ubaguzi vinginevyo patachimbika! Wanaume kwa nn uoe mke alieachika tena ana mtoto mbona mashosti wamejaa tena single tu! Umekwishakosea cha msingi mtimizie huyo mtoto ali mkeo aachane kudunduliza kwa ndg
 
Kama ulimuoa huku ukijua alishakuwa na mweza na ana mtoto ni vzr ukamweleza mkeo vikao wanavyo kaa, awe anakueleza coz ww pia ni baba mlezi wa huyo mtt.
 
Je ni sahihi kwa mwanamke uliye muoa na ukamkuta na mtoto tayari kuendelea kuwasiliana na shemeji zake, yaani baba wadogo wa mwanae? Tena mazoea ya kupeana hata appointmetn za kwenda kukaa seheme akiwa na mtoto na baba wadogo wa mtoto huyo.

Ukimuuliza anasema wanajadili kuhusu mtoto mana baba mzazi wa mtoto huyo alifariki.

Naombeni ufafanuzi. Mnalichukuliaje hili?
Kwani hawawezi kujadiliana nyumbani hadi wakutane mahali na wewe ukijua wanayo yaongea kama nyie ni mwili mmoja kuna tatizo gani? nao kama ni ada si walipe benki kwenye akaunti ya shule na walete silip ambayo hata wakimtuma mtu yeyote anafikisha pia mtoto kama wanamtaka wamchukue wakati wa likizo hapa utadanganywa shemeji shemeji mwisho mtoto anatumika kama siraha ya kusalitiwa! be smart usikubali ujinga huo!
 
amka kaka ...........

mali ya mjinga ya liwa kama ni swala la kudiscus kuhusu mtoto lifanyike nyumbani kwanini kuwe na appointment sehem nyingine
 
Hi mambo ya kuoa mwanamke aliyeisha zaa kwangu hapana, tena hapana kabisa. Siku nyingine unaweza kurudi toka kwenye shughuli zako na unakutana na men 1 imekaa sebuleni kwako inapata kinywaji, ukiuliza unaambiwa huyu ndio baba nani? Pressure za nini bana, ila shughuli tena iko hapa, hawa ambao nao hawajazaa nao mmh, wameisha kunywa vidonge vya majira mpaka basi, wengine wanaweza kukaa hadi mwaka hawaendi kabisa kwenye zile siku zao, yaani full majanga!

Kuoa mke aliyezaa c tatitzo kwani ni kipimo tosha cha ujacri na uanaume wa kweli pac na kukwepa majukumu.
Kwa maana hiyo hata cc tungetenda haki kukataa mume mwenye mtoto ilhali hana makosa na wala hakulazimisha kuzaliwa bali ni uzinz wetu kabla ya ndoa ndio usababishe maafa kwa watoto?
 
Ungekuwa mwanaume wa ukweli ungechukua jukumu la huyo mtoto. Apate hujduma zote kama baba yake kutoka kwako. Inaelekea umeshindwa kufanya hivyo ndio maana mama yake anaangaikia maisha ya mtoto wake na nyie wanaume wengi mmekuwa hivyo ulipokuwa unampenda huyo mama si ulijua ana mtoto na jukumu la kumlea huyo mtoto ulitaka nani alichukue? Mtunze huyo mtotot uone kama atakwenda kuonana na huyo shemeji yake tena
 
unajua kama unamwamin c tatzo jaman ni kwel mtoto ana haki. lazma mumjal na kama mwanamke anatimiza majukum yake c vbaya ila wew mwanaume unatakiwa kuwa karibu xana huyo mwanamke na kama ni muwaz kwako mbona raha tu tena xana kuliko amgekuwa anakuficha
 
Back
Top Bottom