Ndugu zangu, Muda huu (mchana wa leo Disemba 20, 2025) askari wenye silaha wapo nyumbani kwa wazee wangu, kijiji cha Old Moshi Kidia. Leo wameenda na magari mawili, yenye namba za usajili.
Wamemuweka mama yangu mzazi(70) chini ya ulinzi na wamemnyang'anya simu. Majirani walioenda kushuhudia...
Na Malisa GJ
Kuna mambo mawili ningependa kueleza kuhusu hili tukio la kutekwa MO.
#Mosi; nipongeze mshikamano uliooneshwa na taifa baada ya taarifa za kutekwa kutolewa. Pamoja na kwamba bado hajapatikana lakini taifa zima limeshikamana pamoja. Mshikamano huu ungeoneshwa kwa Ben Saanane, kwa...
Nadhani ifike mahali tutafute maana halisi ya kiongozi hasa anayetokana na mfumo wa siasa. Achana na viongozi wa dini, taasisi na mashirika mbalimbali. Tuzungumzie hawa viongozi wa siasa. Unapotafuta nafasi ya uongozi kupitia siasa focus yako ni nini? What is your primary objective?
Viongozi...
Kamishna wa Tume ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Peter Msigwa amesema uteuzi wa Katibu wa Bunge uliofanywa na Rais Magufuli hapo jana ni batili kwa kuwa ni kinyume cha Katiba na sheria za nchi (null and void ab initio).
Hii ni kwa sababu uteuzi huo haukufuata taratibu...
Nimemsikia SACP Lazaro Mambosasa, (Kamanda wa kanda maalumu Dar) akieleza tukio la kuvamiwa Meja Jenerali Mstaafu Vincent Karyongo kwa risasi nyumbani kwake Tegeta, wakati akitoka bank (NBC Tangibovu).
Kamanda Mambosasa ameeleza kuwa wamenasa mawasiliano kati ya mfanyakazi mmoja wa NBC na mmoja...
Haya ni maoni ya rafiki yangu Benson Tembo ambayo nakubaliana nayo kwa 100%.
____________________________________
Ali Kiba na Diamond ni sawa na sukari na chumvi au chumvi na sukari, (vyovyote utakavyoamua kuiweka).Yaani namaanisha kuwa hawa watu wawili wana ladha zinazotofautiana ambazo zote...
Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbles Lema amekamatwa na jeshi la polisi mkoani humo kwa madai ya kuzidisha muda katika mkutano wake kwa dakika saba (07).
Polisi wanadai Lema amemaliza mkutano saa 12:7 jioni badala ya saa 12:00 kamili kama ilivyo utaratibu.
Polisi "wamemblock" Lema katika...
Nimestaajabu sana kusikia Manji amekataa Wakili Msomi Peter Kibatala kusimamia kesi yake na kumtetea mahakamani. Kwanza vyombo vingi vya habari vimepotosha habari hii. Vimeripoti kama vile Kibatala ndo alikua anaenda kuanza kumtetea Manji leo then Manji akakataa. Lakini ukweli ni kwamba Kibatala...
Mkuu unazungumzia UDSM ya Tandale au ya Keko Magurumbasi? Kama ni UDSM ya Mlimani inatoa MPH tangu mwaka 2014. Tayari kuna intake mbili zimeshagraduate, intake ya kina Pamela ni ya 3. Next time jaribu kuuliza kuliko kuonesha umma namna ulivyo outdated. Kwa taarifa zaidi ingia hapa...
Jumamosi April 15 mwaka huu umoja wa kizazi cha kuhoji nchini (UTG) ulifanya mkutano na waandishi wa habari kuelezea juu ya matukio mbalimbali ya watu kupotea, kutekwa na wengine kuuawa. Katika mkutano huo tulieleza baadhi ya hatua tulizochukua kuhusu hali hii ya kuogofya inayoendelea nchini kwa...
Mkuu Ben aliondoka nyumbani kwake Tabata, asubuhi ya tarehe 18/11/2016 na hata kijana aliyekua anakaa naye alidhibitisha hivyo. Sasa kama mtu aliyekua anakaa nyumba moja na Ben anadhibitisha aliondoka tar.18 halafu mawasiliano ya Ben yanaishia tar.16 we huoni tatizo?
Shida kubwa ya nchi hii ni kuwa na wajinga wengi wanaojifanya wajuaji. Mtu anahoji UTG ilikua wapi, wakati andiko linaelezea hatua ambazo UTG imechukua tangu siku ya kwanza iliporipotiwa Ben kapotea. Tangu mwezi November UTG imechukua hatua mbalimbali na wameeleza yote kwenye hiyo taarifa yao...
Siku nyingine kama hujui kitu uliza. Ni aibu kuonesha hadharani namna ulivyo mjinga. Ngoja nikusaidie. Kwenye kufuatilia mawasiliano ya mtu tunaangalia simu (IMEI), namba ya simu (MSISDN), OTHERPARTY, aina ya mawasiliano (CALLTYPE), muda (DURATION), Mnara simu ilipopigwa au sms ilipotumwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.