Kwanini mbinu zilizotumika kuwanasa waliomshambulia Meja Mritaba zisitumike kuwanasa waliomshambulia Lissu?

Malisa Godlisten

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
201
1,534
Nimemsikia SACP Lazaro Mambosasa, (Kamanda wa kanda maalumu Dar) akieleza tukio la kuvamiwa Meja Jenerali Mstaafu Vincent Karyongo kwa risasi nyumbani kwake Tegeta, wakati akitoka bank (NBC Tangibovu).

Kamanda Mambosasa ameeleza kuwa wamenasa mawasiliano kati ya mfanyakazi mmoja wa NBC na mmoja wa waliofanya uhalifu huo. Kwamba kuna mfanyakazi wa NBC "aliuza ramani" kwa majambazi hao kwamba Meja Karyogo amedraw kiasi cha TZS 5M. Mfanyakazi huyo anashikiliwa na Polisi kwa sasa kwa ajili ya upelelezi.

Kwanza nalipongeza Jeshi la Polisi kwa hatua ilizochukua hadi sasa kuhusu suala hilo.

Pili kwa kadri ya uelewa wangu kwenye banks ni marufuku matumizi ya simu. Si kwa Mteja akiwa ndani wala mfanyakazi. Sasa huyu mfanyakazi wa NBC aliyekamatwa aliwezaje kuwasiliana na hao wahalifu? Alificha simu kwa siri, au branch ya Tangibovu inaruhusu matumizi ya simu kwa wafanyakazi wakiwa kazini? Hapa napata shida kidogo kumuelewa Mambosasa.

Lakini ikiwa taarifa ya Mambosasa ni ya kweli kwamba walitrack mawasiliano ya huyo banker na kugundua anawasiliana na wahalifu, basi nadhani kuna haja ya mabank kujiridhisha na wasifu wa watu wanaowaajiri. Ni aibu kwa mfanyakazi wa bank kubwa kama NBC kushirikiana na majambazi kupanga uhalifu. Usalama wa pesa zetu uko wapi? Usalama wetu uko wapi?

Tatu; ikiwa taarifa ya Mambosasa ni kweli, basi nashauri NBC watoe statement ya kuomba radhi kwa mtumishi wao kuhusishwa na kashfa hii kubwa, otherwise this will turnish the reputation of the bank. Watu watajifeel insecured kuweka pesa zao NBC na kuamua kuzitoa kupeleka bank nyingine. Nani yuko tayari kuona siri zake za miamala ya fedha zikivujishwa? Nani yuko tayari kuvamiwa na majambazi akienda kutoa kiasi kikubwa cha pesa? NBC should make clear statement to apologize and clatify the matter. Vinginevyo wajiandae kupoteza wateja.

Mwisho, kwa kuwa polisi wamekiri "kutrack" mawasiliano ya huyo banker na kujua alikua anawasiliana na hao majambazi, ni kwanini "wasitrack" pia mawasiliano ya Bashite maana imedaiwa kwamba alikua anawasiliana na watu waliomshambulia Lissu? Hawaoni kuwa hii itasaidia upelelezi na kuwajua wahalifu waliomshambulia Lissu kwa haraka kama ilivyosaidia kuwajua wahalifu waliomshambulia Meja Karyogo?
 
MaliSa wakati mwinginee ni bora ukakaa kimya,mambo mengine huwa mnajichanganya wenyewe...ni ujingaa wa mwisho kuhusisha tukio hili na serikali na ninyi mkitumia kama fursa kadanganya umaa matibabu ya lisu ni milioni 10 kwasiku,mnayomfanyia lisu mungu anaona
 
Na walijuaje kwamba ni huyo mfanyikazi ndiye aliyepiga simu maana nna uhakika lazima walikuwepo watu wengine wakitumia simu toka mahala hapo. Unless huyo jambazi kawatonya kwamba tuna mtu wetu NBC. Vinginevyo ni sarakasi tu! Mbona Ben Saanane pamoja na namba yake kuendelea kutumika hata baada ya kupotea haijawezwa kuwa tracked, kuna ukakasi gani huko?
 
Nimemsikia SACP Lazaro Mambosasa, (Kamanda wa kanda maalumu Dar) akieleza tukio la kuvamiwa Meja Jenerali Mstaafu Vincent Karyongo kwa risasi nyumbani kwake Tegeta, wakati akitoka bank (NBC Tangibovu).

Kamanda Mambosasa ameeleza kuwa wamenasa mawasiliano kati ya mfanyakazi mmoja wa NBC na mmoja wa waliofanya uhalifu huo. Kwamba kuna mfanyakazi wa NBC "aliuza ramani" kwa majambazi hao kwamba Meja Karyogo amedraw kiasi cha TZS 5M. Mfanyakazi huyo anashikiliwa na Polisi kwa sasa kwa ajili ya upelelezi.

Kwanza nalipongeza Jeshi la Polisi kwa hatua ilizochukua hadi sasa kuhusu suala hilo.

Pili kwa kadri ya uelewa wangu kwenye banks ni marufuku matumizi ya simu. Si kwa Mteja akiwa ndani wala mfanyakazi. Sasa huyu mfanyakazi wa NBC aliyekamatwa aliwezaje kuwasiliana na hao wahalifu? Alificha simu kwa siri, au branch ya Tangibovu inaruhusu matumizi ya simu kwa wafanyakazi wakiwa kazini? Hapa napata shida kidogo kumuelewa Mambosasa.

Lakini ikiwa taarifa ya Mambosasa ni ya kweli kwamba walitrack mawasiliano ya huyo banker na kugundua anawasiliana na wahalifu, basi nadhani kuna haja ya mabank kujiridhisha na wasifu wa watu wanaowaajiri. Ni aibu kwa mfanyakazi wa bank kubwa kama NBC kushirikiana na majambazi kupanga uhalifu. Usalama wa pesa zetu uko wapi? Usalama wetu uko wapi?

Tatu; ikiwa taarifa ya Mambosasa ni kweli, basi nashauri NBC watoe statement ya kuomba radhi kwa mtumishi wao kuhusishwa na kashfa hii kubwa, otherwise this will turnish the reputation of the bank. Watu watajifeel insecured kuweka pesa zao NBC na kuamua kuzitoa kupeleka bank nyingine. Nani yuko tayari kuona siri zake za miamala ya fedha zikivujishwa? Nani yuko tayari kuvamiwa na majambazi akienda kutoa kiasi kikubwa cha pesa? NBC should make clear statement to apologize and clatify the matter. Vinginevyo wajiandae kupoteza wateja.

Mwisho, kwa kuwa polisi wamekiri "kutrack" mawasiliano ya huyo banker na kujua alikua anawasiliana na hao majambazi, ni kwanini "wasitrack" pia mawasiliano ya Bashite maana imedaiwa kwamba alikua anawasiliana na watu waliomshambulia Lissu? Hawaoni kuwa hii itasaidia upelelezi na kuwajua wahalifu waliomshambulia Lissu kwa haraka kama ilivyosaidia kuwajua wahalifu waliomshambulia Meja Karyogo?
Ya dereva kwanza,ya Bashite yatafuata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na walijuaje kwamba ni huyo mfanyikazi ndiye aliyepiga simu maana nna uhakika lazima walikuwepo watu wengine wakitumia simu toka mahala hapo. Unless huyo jambazi kawatonya kwamba tuna mtu wetu NBC. Vinginevyo ni sarakasi tu! Mbona Ben Saanane pamoja na namba yake kuendelea kutumika hata baada ya kupotea haijawezwa kuwa tracked, kuna ukakasi gani huko?
Swali lako linasikitisha

Leo nikija ofisini kwako kishanikatoka na kufuatiliwa na kushambuliwa suspect namba itakuwa wewe na wafanyakazi wako hivyo mawasiliano yenu yatakuwa tracked sababu ndio mnajua muenendo wangu wa pesa

Katika upelelezi waliamua kufanya hivyo kutrack bank tellers maana wao kila siku ndio wanasemwa wanashirikiana na majambazi kama walitrack simu zao na kweli wamekuta hivyo sio jambo la kushangaza
 
Polisi walipotaka kuongea na dereva wa Lissu mbona mmeficha huko Nairobi?
 
Wako bize kukamata magari aina ya Nisan nyeupe, na kumtafuta dereva wa Lissu ishii sijui ndiyo intelejensia gani hiyo
 
hamtaki kutuoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi (kumuweka 'kizuizini' dereva anayedhaniwa kushuhudia tukio la kupigwa risasi Mh. Lissu) halafu mnaleta malalamiko yasiyoeleweka!
 
Na walijuaje kwamba ni huyo mfanyikazi ndiye aliyepiga simu maana nna uhakika lazima walikuwepo watu wengine wakitumia simu toka mahala hapo. Unless huyo jambazi kawatonya kwamba tuna mtu wetu NBC. Vinginevyo ni sarakasi tu! Mbona Ben Saanane pamoja na namba yake kuendelea kutumika hata baada ya kupotea haijawezwa kuwa tracked, kuna ukakasi gani huko?
cinema
 
Nimemsikia SACP Lazaro Mambosasa, (Kamanda wa kanda maalumu Dar) akieleza tukio la kuvamiwa Meja Jenerali Mstaafu Vincent Karyongo kwa risasi nyumbani kwake Tegeta, wakati akitoka bank (NBC Tangibovu).

Kamanda Mambosasa ameeleza kuwa wamenasa mawasiliano kati ya mfanyakazi mmoja wa NBC na mmoja wa waliofanya uhalifu huo. Kwamba kuna mfanyakazi wa NBC "aliuza ramani" kwa majambazi hao kwamba Meja Karyogo amedraw kiasi cha TZS 5M. Mfanyakazi huyo anashikiliwa na Polisi kwa sasa kwa ajili ya upelelezi.

Kwanza nalipongeza Jeshi la Polisi kwa hatua ilizochukua hadi sasa kuhusu suala hilo.

Pili kwa kadri ya uelewa wangu kwenye banks ni marufuku matumizi ya simu. Si kwa Mteja akiwa ndani wala mfanyakazi. Sasa huyu mfanyakazi wa NBC aliyekamatwa aliwezaje kuwasiliana na hao wahalifu? Alificha simu kwa siri, au branch ya Tangibovu inaruhusu matumizi ya simu kwa wafanyakazi wakiwa kazini? Hapa napata shida kidogo kumuelewa Mambosasa.

Lakini ikiwa taarifa ya Mambosasa ni ya kweli kwamba walitrack mawasiliano ya huyo banker na kugundua anawasiliana na wahalifu, basi nadhani kuna haja ya mabank kujiridhisha na wasifu wa watu wanaowaajiri. Ni aibu kwa mfanyakazi wa bank kubwa kama NBC kushirikiana na majambazi kupanga uhalifu. Usalama wa pesa zetu uko wapi? Usalama wetu uko wapi?

Tatu; ikiwa taarifa ya Mambosasa ni kweli, basi nashauri NBC watoe statement ya kuomba radhi kwa mtumishi wao kuhusishwa na kashfa hii kubwa, otherwise this will turnish the reputation of the bank. Watu watajifeel insecured kuweka pesa zao NBC na kuamua kuzitoa kupeleka bank nyingine. Nani yuko tayari kuona siri zake za miamala ya fedha zikivujishwa? Nani yuko tayari kuvamiwa na majambazi akienda kutoa kiasi kikubwa cha pesa? NBC should make clear statement to apologize and clatify the matter. Vinginevyo wajiandae kupoteza wateja.

Mwisho, kwa kuwa polisi wamekiri "kutrack" mawasiliano ya huyo banker na kujua alikua anawasiliana na hao majambazi, ni kwanini "wasitrack" pia mawasiliano ya Bashite maana imedaiwa kwamba alikua anawasiliana na watu waliomshambulia Lissu? Hawaoni kuwa hii itasaidia upelelezi na kuwajua wahalifu waliomshambulia Lissu kwa haraka kama ilivyosaidia kuwajua wahalifu waliomshambulia Meja Karyogo?
Shida umeanza vizuri lakini ukamaliza kwa kujipaka kinyesi usoni. Aibuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pili kwa kadri ya uelewa wangu kwenye banks ni marufuku matumizi ya simu. Si kwa Mteja akiwa ndani wala mfanyakazi. Sasa huyu mfanyakazi wa NBC aliyekamatwa aliwezaje kuwasiliana na hao wahalifu? Alificha simu kwa siri, au branch ya Tangibovu inaruhusu matumizi ya simu kwa wafanyakazi wakiwa kazini? Hapa napata shida kidogo kumuelewa Mambosasa.
Punguza Ubahaluli, wangapi bank wanavunja Taratibu, mara nyingi tuna waona matela wanaongea na simu, pamoja na kuwa wamekatazwa, mfano ata wateja wamekatazwa kuongea na simu, lakini utakuta wanaongea..

Mnataka vyombo vya usalama viwataje au kukamata, Kwani nyie Chadema si mmetaja waliohusika.. Au lengo lilikua fitna
 
Nimemsikia SACP Lazaro Mambosasa, (Kamanda wa kanda maalumu Dar) akieleza tukio la kuvamiwa Meja Jenerali Mstaafu Vincent Karyongo kwa risasi nyumbani kwake Tegeta, wakati akitoka bank (NBC Tangibovu).

Kamanda Mambosasa ameeleza kuwa wamenasa mawasiliano kati ya mfanyakazi mmoja wa NBC na mmoja wa waliofanya uhalifu huo. Kwamba kuna mfanyakazi wa NBC "aliuza ramani" kwa majambazi hao kwamba Meja Karyogo amedraw kiasi cha TZS 5M. Mfanyakazi huyo anashikiliwa na Polisi kwa sasa kwa ajili ya upelelezi.

Kwanza nalipongeza Jeshi la Polisi kwa hatua ilizochukua hadi sasa kuhusu suala hilo.

Pili kwa kadri ya uelewa wangu kwenye banks ni marufuku matumizi ya simu. Si kwa Mteja akiwa ndani wala mfanyakazi. Sasa huyu mfanyakazi wa NBC aliyekamatwa aliwezaje kuwasiliana na hao wahalifu? Alificha simu kwa siri, au branch ya Tangibovu inaruhusu matumizi ya simu kwa wafanyakazi wakiwa kazini? Hapa napata shida kidogo kumuelewa Mambosasa.

Lakini ikiwa taarifa ya Mambosasa ni ya kweli kwamba walitrack mawasiliano ya huyo banker na kugundua anawasiliana na wahalifu, basi nadhani kuna haja ya mabank kujiridhisha na wasifu wa watu wanaowaajiri. Ni aibu kwa mfanyakazi wa bank kubwa kama NBC kushirikiana na majambazi kupanga uhalifu. Usalama wa pesa zetu uko wapi? Usalama wetu uko wapi?

Tatu; ikiwa taarifa ya Mambosasa ni kweli, basi nashauri NBC watoe statement ya kuomba radhi kwa mtumishi wao kuhusishwa na kashfa hii kubwa, otherwise this will turnish the reputation of the bank. Watu watajifeel insecured kuweka pesa zao NBC na kuamua kuzitoa kupeleka bank nyingine. Nani yuko tayari kuona siri zake za miamala ya fedha zikivujishwa? Nani yuko tayari kuvamiwa na majambazi akienda kutoa kiasi kikubwa cha pesa? NBC should make clear statement to apologize and clatify the matter. Vinginevyo wajiandae kupoteza wateja.

Mwisho, kwa kuwa polisi wamekiri "kutrack" mawasiliano ya huyo banker na kujua alikua anawasiliana na hao majambazi, ni kwanini "wasitrack" pia mawasiliano ya Bashite maana imedaiwa kwamba alikua anawasiliana na watu waliomshambulia Lissu? Hawaoni kuwa hii itasaidia upelelezi na kuwajua wahalifu waliomshambulia Lissu kwa haraka kama ilivyosaidia kuwajua wahalifu waliomshambulia Meja Karyogo?

Watakamataje wahusika wakati DEREVA mmepeleka Nairobi kupata huduma ya KISAIKOLOJIA.
 
Back
Top Bottom