CNN,BBC,FOX news,France 24,CNBC,VOA nk vyote ni vyombo vya propaganda kupushi agenda za nchi za magharibi kwa hiyo hakuna ubaya kwa rt,Tass,, Sputnik au CCTV 4 au Itvtz au tbctz kufanya propaganda kwa maslahi ya mataifa yao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shirika la CETC na baraza la afya la China(NHC) wamezindua mobile App inayo-detect kama UMEKARIBIANA na mtu aliyeambukizwa coronavirus.inamfahamisha mtumiaji kama amegusana na mtu aliyeambukizwa coronavirus.
Source Russia today
====
China has rolled out a mobile app enabling people to check...
Sasa hiyo Katiba yao wanayodai ni Bora kabisa.imeacha mianya ili waibe .kwa afrika katiba inapaswa ipambane na ufisadi,ukabila na demokrasia.sioni sifa za hiyo katiba.mnatukatisha tamaa kubadili katiba
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo chengena ,mkongo,lusewa,nk wakulima wanauza gunia 100,000/- la pishi 30 au 130kg+.ni wachche walio nayo lakini imewaamasisha wengi kulima.mwaka huu mtkula ugali kwa Bei kuokota mliozoe mahindi yamelimwa kwa wingi.ila Bei ingekuwa ya ovyo Bei ya mwaka ingepita inayolalamikiwa wangeelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.