Recent content by Maliki J

  1. M

    Moshi vijijini maji hakuna, ni kero kubwa

    Habarinu wana jukwaa, Huku nilipo Moshi Vijijini kuna shida ya maji mpaka kero. Idara inayohusika kuna tatizo gani watu tunakosa maji siku tatu? Kipindi kama hiki cha masika hasa ukiangalia tuko karibu na Mlima mrefu kuliko yote Afrika. Mimi nimeshiriki kwa kutoa taarifa, naomba viongozi na...
  2. M

    DOKEZO Uonevu uliokithiri Idara ya Elimu Manispaa ya Moshi

    Walimu acheni uoga wa maisha
  3. M

    Nape Nnauye: Anaachwaje kichaa mmoja hivi anasema ‘Mama hatukuelewi’?

    Nape wewe ndo uliongoza kampeni ya kumchagua magufuli unalia nini. Wewe unatuchanganya
  4. M

    Rais Samia: Ilikuwa ni vigumu kwangu kufanya kazi na Hayati Magufuli hasa alivyokuwa anakabiliana na suala la Covid -19

    Mama hatukuelewi .songa mbele na mambo yako .hoja za magufuli juu ya korona tulielewa sana kuliko sasa juu ya mafuta. Nauli. Na mengi
  5. M

    Somo nililopata kupitia kwa Hayati John Pombe Magufuli

    ujumbe mzuri sana.kwa hakika watz ni wasahaulifu sana.mana miaka ya awamu ya nne tulikuwa tunaomba mungu atupe dikteta.mkali na mungu akamleta.mara tukadai hafai. mungu atusamehe sana na aiweke roho yake mahala pema peponi
  6. M

    Polepole: Nilitegemea kuona kuna Mawaziri watajitokeza na kulaani ile kauli ya kula kwa urefu wa kamba

    kama kila mtu anakula urefu wa kamba yake. Takukuru na CAG wana kazi gani?
  7. M

    Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Kutokana na siasa za Tanzania mpaka sasa hadi Mh. Rais kubadili baraza. Napenda kuleta ujumbe huu kwa kumpongeza Mh. Rais kwa nzanuri ya kuongoza Taifa letu. Kilichotokea hivi makaribuni mpaka kutengua baadhi ya mawaziri nafikiri halikuwa tarajio la wananchi wengi nchini. Kwa sasa watanzania...
  8. M

    Ushahidi: Maelekezo kutoka juu Haumtoi mtu Hatiani

    Habari wanajamii wenzangu, nmekuwa nikifuatilia majibu ya Ole Sabaya kwenye ushahidi wake kwamba alikuwa akipata maagizo kutoka juu ili atimize majukumu yake kifupi alikuwa alikuwa anatii mamlaka. Lakini hii imekaaje mpaka sasa Makamu wa rais, Waziri wa fedha na gavana wa BOT kutajwa kuwa...
  9. M

    Mwambieni January Makamba kwamba umeme umeanza kukatika ovyo Dar es Salaam

    Mh. Waziri Makamba nakumbuka hotuba yako ya kwanza ulipoteuliwa, ulijitanabaisha kwa kusema unataka ndni ya wiki mbili mbili upewe sababu za kukatika mara kwa mara umeme. Nilipata matumaini makubwa kutokana na kauli yako. Lakini kama watoto wa mjini wanavyowatania wanasiasa kutokana na kauli yao...
  10. M

    Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

    Hapana. Mh. Nape Moses Nnauye umekosea na umeikosea umma wa WaTz Kumbuka wewe ulikuwa katibu wa itikadi wa uenezi ambaye ulituaminisha kuwa mgombea wa CCM wa 2015 ni mchapakazi, mzalendo na isitoshe ukaenda mbali kwamba mngeshinda kwa bao la mkono. Sasa leo wewe kuonesha kuwa uongozi uliopita...
  11. M

    Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Nikiwa nashuhudia sasa ni mara ya pili kwa waziri mkuu mstaafu wa Uingereza kuwasili nchini Tanzania ndani ya mwaka huu. Sasa wachambuzi wa mambo naomba michango yao, juu ya safari zake nchini Tanzania maana ni kiongozi mkubwa duniani.
  12. M

    Tatizo la Maji Moshi mkoani Kilimanjaro

    Kuna tatizo la maji wilayani moshi Mkoani Kilimanjaro. Rai Yangu Viongozi mbona hatuoni kazi yeyote?
  13. M

    Rais Magufuli abatilisha muda wa usajili wa laini za simu kwa kutumia Vitambulisho vya NIDA kama ilivyotangazwa awali na TCRA

    Ushauri:Viongozi acheni kucreate matatizo na kuyasolve wenyewe ,wananchi sio wa wakuja ,wanaelewa kila kitu siku hizi,kwani hiyo mamlaka haikujua kuwa ni watanzania wachache tu ndo waliosajiliwa na NIDA?.Hapa kwenyew kila siku nazungushwa kwenye ofisi za umma kutafuta huduma lakini hakuna...
  14. M

    Ndugai: Tumeshamlipa Tundu Lissu

    sawa ila lazima tuambiwe kiasi cha shilingi alicholipwa Mh. Lissu
  15. M

    Natafuta kazi ya ualimu wa English Medium

    0653002428 NA 0788704727
Back
Top Bottom