Nimefuta nilichoandikaKAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app
kwanini usijizike mwenyewe mpaka.usubiri watu tena...dalili ya woga hiyo kamanda
Unaweza kukuta aiseeUsikute Huyu multimedia speaker system alikuwa anakula mshahara wa Lissu huku kwenye hesabu akijumlisha kuwa kamlipa Lissu.
Sasa CAG kakagua na kagundua na huenda kaiorozesha kwenye ripoti na ndio maana jamaa kagoma kufanya Kazi nae.
Huruma??ndugai alijua atapoteza kesi kajisalimisha mapemaKAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa ila lazima tuambiwe kiasi cha shilingi alicholipwa Mh. LissuSpika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Alilazimishwa na wakiri wabara...
StupiD
Ndugai ni kama kichaa kwa sasa, tena nafuu ya vichaa hawafanyi mambo ya hovyo kama yeye!Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema mhimili huo wa Dola umeshamlipa madai yake yote mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu huku akimwagiza kuwa kama ana jambo lolote kuwasiliana na mamlaka husika na si kutumia mitandao ya kijamii.
Ndugai alitoa kauli hiyo juzi wakati akizungumza na Mwananchi kwa simu ikiwa zimepita siku 10 tangu mnadhimu huyo wa kambi rasmi ya upinzani bungeni kumwandikia barua Katibu wa Bunge, Stephen Kagaigai akimtaka kumlipa mshahara na posho zake za kuanzia Januari, ndani ya siku 14 vinginevyo atashtaki mahakamani.
Machi 27, Kagaigai alipoulizwa kama amepata barua hiyo, alisema hajaipata lakini wakili wa Lissu, John Mallya alisema kwamba aliituma barua hiyo kwa wahusika kwa njia mbili, moja ikitumwa ofisi ndogo ya Bunge Dar es Salaam kwa njia ya kitabu cha hati ya kupokea kwa kutia saini (dispatch) na nyingine kwa EMS.
Lissu alibainisha kuwa mawakili wake waliandika barua hiyo kutaka alipwe mshahara na posho zake za kibunge za tangu Januari, 2019.
Kabla ya kuthibitisha kwamba mbunge huyo ameshalipwa madai yake, Ndugai alisema, “pale bungeni hatumuonei mtu hata kidogo labda nikate simu yako niangalie kama kweli amelipwa ninaweza kufanya kazi hiyo,” alisema Ndugai na baadaye kupiga simu na kueleza kuwa Mnadhimu huyo wa Kambi Rasmi ya Upinzani bungeni tayari ameshalipwa, “wameshamlipa,” alipoulizwa amelipwa madai gani alisema, “usitake tena… yaani hana madai. Kama ana madai mengine atasema.”
Mbunge huyo amekuwa nje ya nchi tangu Septemba 7, 2017 baada ya kushambuliwa kwa risasi katika makazi yake Area D jijini Dodoma. Mpaka sasa yupo Ubelgiji akiendelea na matibabu.
Katika maelezo yake, Ndugai alisema Lissu anatumia njia zisizo nzuri kueleza masuala yake, likiwamo hilo la madai yake.
“Hii si njia nzuri ya mawasiliano. Ninachosisitiza mtu ni mtumishi katika taasisi unatakiwa kuwajibika kwa watu fulani fulani lakini huwatambui huwasiliani nao,” alisema Ndugai.
Alimshauri Lissu kutafuta ufumbuzi wa masuala yake ya bungeni kupitia viongozi mbalimbali wa upinzani.
“Haki ya mtu ni haki ya mtu, siwezi kusimama katikati ya haki ya mtu… sifuatiliagi mshahara wa mtu mmojammoja mwisho wake nitahamia uhasibu,” alisema Ndugai huku akicheka.
Alisema huenda kulikuwa na shida ya huduma ya malipo ya kibenki au fedha kuchelewa, “ni kama ilivyo kwa malipo ya mahala popote pa kazi, mfano hata makandarasi wanadai.”
Hata hivyo, Mwananchi lilipomtafuta Lissu kujua kama kweli amelipwa alisema apewe muda awasiliane na watu wa benki kisha akishapata majibu atarejea. Lakini hadi saa 1:30 jioni alikuwa hajapata majibu kutoka benki kutokana na kuwa nje ya nchi.
Pumbavu, kama ni huruma kwanini hawajakulipa na wewe?KAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh mshahara wa mtu na marupu rupu mengine ni haki ya mhusika lazima apewe hakuna kujikomba . futa kauri kuwa KAONEWA HURUMA>KAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, Sio poa kuwaita wenzio nzi [emoji16][emoji16][emoji16]hayo malipo ni haki yake na wala hakuna huruma mliyomuonea hapo nyie nzi wa kijani
Sent using Jamii Forums mobile app
Haki ya mtu sio favor..what are you smoking?KAONEWA HURUMA BADO MNAKUJA NA MANENO MAGUMU MAGUMU HUMU MNAMPONZA MWENZENU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaidai na kutishia kuiburuza ofisi ya spika mahakamani. Sio kalipwa kwa hisani ya Ndug.i