Nape: Sasa hivi vyuma vimelegea, Rais Samia kamwaga pesa mtaani tofauti na awamu iliyopita

Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?

Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg

Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Nape hapati cheo hata akimsifia vipi Rais. Nape anatapatapa na ni mpiga magoti mzuri, lakini ni mnafiki sana na ni wa kuogopwa.

Hafai hata kwa senti tano
 
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?

Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg

Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Kabisa kabisa...ajira nyingi zimemwagwa mitaani na hamtawaona wamachinga kwani wamewekewa utaratibu...mishahara ya watumishi wote serikalini inalipwa kwa wakati
 
Huyo bado anaweweseka. Yeye ndiye alikuwa wa kwanza kusema huyo mzanzibar atawale miaka kumi. Hizo njaa ndizo zinamsumbua labda anajaribu kutafuta upenyo wa kurudi barazani kama makamba mdogo.
 
Hha kuna watu wamechangia hapo juu wamesema chifu hangaya asitoke IKULU YAWE MAKAZI YAKE YA KUDUMU MAAANA AKIONDOKA TU VYUMA VITAKAZA TENA WW WALIONAJE KIJANA WA JAN

Ndio, maisha yamelainika sana hivyo mama yetu Samia atawale hadi 2035
 
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?

Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg

Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Mwache huyo anatafuta uteuzi
 
CCM nina washangaa sana unakuta mwanachama anasheherekea Mkopo wa IMF magari mara huduma za hospital.
Tunaambiwa Nchi imekusanya Trillion , wanafungua Dira ya maendeleo kwa Mkopo.
Bandari ya Bagamoyo itajengwa wachina wamwage pesa kwa Serikali kazi ya Ujenzi watapewa.
Trillion za pesa sijuih zinafanya nini katika Nchi yetu.
 
Hapana. Mh. Nape Moses Nnauye umekosea na umeikosea umma wa WaTz Kumbuka wewe ulikuwa katibu wa itikadi wa uenezi ambaye ulituaminisha kuwa mgombea wa CCM wa 2015 ni mchapakazi, mzalendo na isitoshe ukaenda mbali kwamba mngeshinda kwa bao la mkono. Sasa leo wewe kuonesha kuwa uongozi uliopita ulikuwa si mzuri unatuchanganya sana. Ni bora ubaki kusema mungu atusamehe na usiudharau uongozi uliopita.Mungu ibari Tz
 
Kama pesa zipo mtaani labda kwa mafisadi ambao walikuwa na hali ngumu wakati wa JPM... ila kwa sasa Mwananchi wa kawaida tunacho ambulia ni mfumuko wa mabei wa bidhaa mbalimbali.. waliolia wakati wa JPM sasa wanacheka.... Propaganda at Work...
 
Huyo kiazi hajui kwamba hizo pesa anazodai zipo kitaa zipo mikononi mwa mabwanyenye wachache walio kwenye mgao wa tozo na pesa ya mkopo wa IMF.......unawezaje kuingiza pesa kwenye mzunguko kwa kulipana watu wachache kiujanja ujanja badala ya kuweka ruzuku kwenye pembejeo za kilimo na kuwaongezea watumishi mishahara na kuwapa malimbikizo yao. Kwa sababu hii serikali ya maigizo haina control kwenye bei za bidhaa kwa sasa kutokana na kuvurugika kwa hali ya uchumi wa dunia tarajia hiyo nondo kufika elf 50 hadi mwishoni mwa mwaka huu..​
Absolutely Mkuu

Kuhusu bidhaa kupanda bei especially hizi za Ujenzi, Lubricants kuna haja Serikali ikaingilia kati. Nilidhani kupitia Bejeti ya Serikali 2021/2022 ingeweka punguzo la kodi kwenye bidhaa za Ujenzi na Mafuta ili Ku boost uwekezaji kwenye hiyo sekta ambayo kimsingi huleta Ukwasi mwingi mtaani.

Ingewezekana kungekuwa na chombo kama EWURA hivi kwa ajili ya Ku control gharama za vifaa vya Ujenzi pia, otherwise tunaoumia ni sisi consumers wa mwisho
 
Nape anasema sasa hivi mtaani watu wanafurahi maana hela zimewagika na mama kaweka hela nyingi kila mtu ana sherekea tofauti na kipindi kilichopita maana vyuma vilikuwa vimekaza.

Ni kweli hela zimewagika mtaani wana JF?

Nape ampa tano Rais Samia
-
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema, Rais Samia Suluhu anafanya kazi vizuri.

“Kuna wakati tulisema vyuma vimekaza, mama amelegeza sana, akimaliza hii miaka mitano, tumuongeze na mingine mitano 2025 atupeleke mpaka 2030," amesema Nape.
Kwa kweli hii ni kejeli kubwa sana kwa ss wanyonge.sasa hivi watu tumeshindwa kula nyama,samaki ndo kabisa,pesa haina thamani kutokana na tozo kuwa nyingi kwenye mafuta halafu mtu from nowhere anasema vyuma vimelegea!kwa kweli wanasiasa wa namna wanapaswa kutorudi tena bungeni ili wote tukutane huku kitaa.
 
Je Kauli Ya Nape Ni Ya Kweli Kwamba Vyuma Vilikaza Na Sasa Vimeachia?

Kweli vimelegea nyama imeshuka bei kutoka 6000 kwa kg Hadi 8000 kwa kg

Mafuta ya aina yote bei imeshuka Sana kuliko miaka yote hongera sana kwake
Tuongelee na tozo basi ,sio tunasifia upande mmoja tu wa shiringa, Nape ni mchumia tumbo tu hana kitu.
 
Kuna watu wanajua kujipendekeza hadi wanatia kinyaa
Ameambiawa ili apate uwaziri lazima arambe rambe shombo la Feri, muache.
Ridhiwani alikuja na hizi swaga, uwaziri ukaenda kwa Januari kapiga kimya.
 
Back
Top Bottom