Tatizo la Maji Moshi mkoani Kilimanjaro

Nadhani Moshi ni afadhali. Nenda mji wa SAME, Kilimanjaro. Katikati ya mji hakuna maji ya bomba huu mwaka wa 60 baada ya uhuru. Kuna mradi wa mabilioni mpaka leo hakuna kitu. Viongozi wamekuwa hodari kuuzia wakaazi maji. Mwanga afadhali.
 
Kuna tatizo la maji wilayani moshi Mkoani Kilimanjaro. Rai Yangu Viongozi mbona hatuoni kazi yeyote?
Haswa Kata ya Mwika kusini.Mwenyekiti wa kitongoji, mwenyekiti wa Kiniji wote ccm Diwani ni ccm, Mbunge ccm. sasa inatakiwa tufanye nini?

Tulikuwa na MTIRO PIPE tangu enzi za mkoloni na tulikunywa maji ya kutosha mpaka usiku tulimwagilia migomba na kahawa for free. Chanzo kipo tu hapo lole. Maji yote yakaelekezwa rombo. Chanzo kipo kata ya Mwika Kaskazini. ila maji yote ROMBO. Why?
 
Nadhani Moshi ni afadhali. Nenda mji wa SAME, Kilimanjaro. Katikati ya mji hakuna maji ya bomba huu mwaka wa 60 baada ya uhuru. Kuna mradi wa mabilioni mpaka leo hakuna kitu. Viongozi wamekuwa hodari kuuzia wakaazi maji. Mwanga afadhali.
Nyinyi si mnasemaga mlishaendelea tokea uhuru! Wachaga acheni sifa zisizo na kichwa wala miguu! Mnalia nini wakati nyie mna rami na mabomba ya maji tokea uhuru!
 
Acha uongo..nyie si ndio mnasemaga moshi hamna dhiki ndogo ndogo?
Yaani hawa wanajifanyaga wana maendeleo utafikiri moshi kuna viwanda vya magari ukifika ndo utasitaajabu ya Musa! Mji umedumaa hamna kitu utalii nao unazidi kushuka sambamba na theluji ya mlima kilimanjaro inazidi kuyeyuka! Nyie acheni mbwembwe saizi kila mtu anapambana na hali yake!
 
Haswa Kata ya Mwika kusini.Mwenyekiti wa kitongoji, mwenyekiti wa Kiniji wote ccm Diwani ni ccm, Mbunge ccm. sasa inatakiwa tufanye nini.? Tulikuwa na MTIRO PIPE tangu enzi za mkoloni na tulikunywa maji ya kutosha mpaka usiku tulimwagilia migomba na kahawa for free. Chanzo kipo tu hapo lole. Maji yote yakaelekezwa rombo. Chanzo kipo kata ya Mwika Kaskazini. ila maji yote ROMBO. Why?
Rombo shida ya maji imepungua sana..watu wanaoga mara tatu kwa siku..nilienda home juzi maji yanatoka mengi kinoma..sijawahi kushuhudia hilo kipindi cha nyuma.
 
Kuna tatizo la maji wilayani moshi Mkoani Kilimanjaro. Rai Yangu Viongozi mbona hatuoni kazi yeyote?
mkuu ni vyema ukataja ni Moshi manispaa au Moshi vijijini? Na ni kata ipi Maana hapa Moshi mjini sijawahi sikia kama kuna sehem kuna shida ya maji
 
Nadhani Moshi ni afadhali. Nenda mji wa SAME, Kilimanjaro. Katikati ya mji hakuna maji ya bomba huu mwaka wa 60 baada ya uhuru. Kuna mradi wa mabilioni mpaka leo hakuna kitu. Viongozi wamekuwa hodari kuuzia wakaazi maji. Mwanga afadhali.
Ww nae muongo same ipi unaisemea
 
Hapo Moshi Kuna shida nyingi sana ila Kwa vile wanaishi wale wataalamu wa kujisifu na kujiona Bora kuliko Watanzania
Mtakufa na tai shingoni kama Mjerumani
Ukweli ni kwamba hii nchi Kila upande una changamoto zake
 
Niko Moshi mjini tangu mwaka jana maji yapo ya kumwaga, mbali na hapo nimesoma moshi advance sikuwahi kupata shida ya maji. Tena masafiiii matamuuu unakunywa bila kuchemsha.
 
Back
Top Bottom