Recent content by malikafif84

  1. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga kuhusishwa na CCM

    Dini ya Kikobazi ni ipi hiyo 😁
  2. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga kuhusishwa na CCM

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo, tulizilea hizi timu katika mtindo huo na sio rahisi leo kuzitenganisha na CCM, chombo pekee kinachoweza kufanya hivyo ni FIFA kuzipa onyo na kuendelea kuzifuatilia kwa ukaribu.
  3. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa Mafumbo nina swali lenu hapa

    Miaka 67
  4. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Alphonce Simbu: Hatukwenda kuiangalia njia(Olimpiki 2024), tuliiona tu kwenye Mtandao

    Hii ina maana hamkuandaliwa vizuri, kwa Olympic ijayo turekebishe makosa haya yasijirudie.
  5. malikafif84

    JamiiForums Tanzania KWELI Matumizi Makubwa ya Vinywaji vya kuongeza nishati (Energy Drinks) husababisha Madhara kwenye Figo

    Kuna ukweli gani kuhusu vinywaji vya Energy Drink kusababisha Madhara kwenye Figo?
  6. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Askari Kanzu wa Manispaa ya Temeke na Usumbufu wa kukamata Magari Barabarani

    Kuna hawa Wafanyakazi wa Manispaa ya Temeke ambao wanajibanza pembeni mwa Barabara na kusubiri gari ziharibike waje wakukamate. Kiukweli wanakera sana kwa sababu haifiki hata dakika 15 wanatokea na kusema wanataka kuvuta gari na Breakdown iende Yard yao ukalipe faini ya sh 340,000 ya kuharibika...
  7. malikafif84

    JamiiForums Tanzania UFAFANUZI: Mtume Mohamad amewahi kutenda muujiza gani?

    Ukitaka kujua Miujiza aliyotenda bado una fursa ya kusoma Vitabu vinavyomtaja, baadhi ya Watu wameweza kukusaidia kukwambia Miujiza aliyotenda.
  8. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Kwa Rais huyu, CCM wana hali mbaya sana!

    Nimefurahishwa na andiko lako yote uliyogusia ni ukweli mtupu, je unadhani anayo nafasi ya kubadili mihemko ya Wananchi kabla hatujafika kwenye Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025?
  9. malikafif84

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Inna lillahi wainna ilayhi rajjiun pole sana mwana JF mwenzetu Allah awajaalie Subra katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na Baba Mzazi.
  10. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Huu utajiri wa kupindukia wa madereva wa malori unatokana na nini?

    Sio kweli huyo Dereva amekudanganya mimi nimefanya kazi hiyo kwa miaka mingi mwisho wa umiliki ni nyumba ya kuishi, gari ya kutembelea na mradi mdogo wa kuendeshea maisha ya familia, labda huyo aliyekwambia hivyo aseme ni mali za mtu kapewa asimamie.
  11. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Nani kuondoka, nani kubaki na nani kuingia?

    Mbona mpaka sasa sijaona mapungufu upande wa January Makamba kiutendaji, naona yupo sawa anachapa kazi tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA inachangisha hela ya matibabu ya Lissu?

    Fikiria mara mbili hicho ulichouliza, inahusiana nini Chadema na kuokoa uhai wa Lissu na michango? Kila mtu anataka ajitolee mchango wa pesa kwa sababu anapendwa na Raia, ukumbuke pia wapo wengine ni CCM na wametoa michango yao. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. malikafif84

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, kwanini Hemedi Ally na sio Tumaini Makene? kuna jambo hapa!

    Nimekuelewa sana ila nataka ujue pamoja na Makene kuwa msemaji wa chama lakini pia sio mbaya akasaidiwa na Hemedi ni jambo la kawaida sana wala halitoi picha yoyote mbaya, ni kusaidiana majukumu tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Fid Q awachana wakina dada wanaowategeshea wanaume wao watoto

    Akapumzike kwa nini sasa? Huoni kama aliyoongea ni ya msingi sana, rudia kusoma tena alichosema halafu upe muda ubongo wako kutafakari maneno yake. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. malikafif84

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM yupi anafaa kuwa rais baada ya Mh. Dkt Magufuli 2025?

    Ooh kumbe ulimaanisha Humphrey Polepole sorry sikuelewa. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom