Ila ni aina ya kiongozi ambaye taifa lilikuwa bado linamhitaji,kwa kpnd kifupi alichokaa madarakani na mambo aliyoyafanya hakika anastahili pongezi. Rest easy Mzee baba.
Wadau natumai ni wazima wa afya njema,naomba kufahamu stahiki anazotakiwa kulipwa mtu aliyefanyiwa" retrenchment" na bado ana mkataba.
======
Tukianza na Sheria ya ajira na mahusiano kazini mwaka 2004 kifungu cha 38 ukitaka kupunguza wafanyakazi au mfanyakazi unatakiwa kufuata utaratibu...
Haya maisha yana changamoto nyng sana,jitahd kuyakabili kadri uwezavyo na kuwa makini na maamuzi utayoyachukua pengine yanaweza kukuza matatizo zaid...muombe Mungu akutangulie uweze kukabiliana nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa wamenifuata mara kwa mara na mpk sasa nasumbuliwa kwenye simu kila kukicha nijiunge nao,kila nikifikiria kiingilio ndo nachoka kabisa na isitoshe hata watu wanaokuja kunishawishi wengi sion mafanikio waliyonayo,wana maneno mazuri ila kiuhalisia kaz yao ni ngumu sana,huo mtaji ni heri...
Fanyeni kuongeza movie channel na pia rejesheni st music mambo yawe poa kpnd hk cha korona na ikiwezekana legezen kdg bei ya vifurushi
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha maisha yaendelee,usipokufa kwa corona utakufa kwa mengine,unadhan utaishi milele hapa duniani? Tufanye kazi cha msingi tuzingatie vile tunavyoagizwa na wataalamu wa afya ya namna ya kujikinga na janga hili,maisha yetu hatujafikia point ya kusema tujifungie ndan bila ya kwenda...
Pambana na hali yako,hatua zinazochukuliwa ni moja wapo ya mapambano dhidi ya gonjwa hili,usitake kila kitu rais akufanyie kana kwamba hana wasaidizi...maisha yapo na yanaendelea kama kawaida ww unasubiri rais akuambie itakula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni kuuzwa huku ukiwa kama mfanyakazi mwenye mkataba na muajiri wa zamani huku muajiri mpya akikutaka usaini mkataba mpya uendelee na ajira,je, kuna malipo yoyote unayotakiwa kulipwa?
Kuongeza bei ya kifurushi cha sms kwa mwezi mzima wakati mitandao mingine bei iko simple no kufukuza wateja,nilijiunga sana kifurushi chenu ila kwa sasa hamnipati tena mpk mshushe bei ndio nitarud tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.