Recent content by malichi

  1. M

    Hassan Ngoma: Kuugua kwa Lissu hakuna maana ila Wananchi ambao hawana Uwakilishi muda mrefu ndiyo Wathaminiwe

    Kwaiyo ww ulitaka Tundu lissu aendelee kulishika wakati yeye hayupo nchini?,wakati mwingine tuache ushabiki tuangalie na upande mwingine sijaona kama hassan ngoma kakosea kusema hivyo,huo ndio ukweli na hajamaanisha kuwa unafurahishwa na kuugua kwa lissu.
  2. M

    Upinzani kuongoza Taifa ni vigumu kuliko tunavyo fikiria

    Ni ngumu kwasababu hawana mipango mikakati na wao kwa wao wapo ki maslahi
  3. M

    Rais Magufuli ana jipya gani? Nilijua tu rangi yake halisi itaonekana kabla ya 2020

    W e ni mTanzania kweli mbona huku kwetu kuko bize sana na mambo ni mengi yanayofanywa ni kwamba huoni au tu ni mkaidi?
  4. M

    Imevuja: Wajumbe kamati kuu CHADEMA wakubali hoja za Mbowe kutoshirikiana na ACT

    Of course CHADEMA ni wanafki sana hata siku moja hawawezi kushangilia umaarufu wa ACT maana ikija juu haita kuwa na utofauti na CHAUMA 😁😁 ndo itakuwa kifo chake
  5. M

    Zitto: Kigogo kutoka CCM ambae aliwahi kushika nafasi nyeti serikalini, kukabidhiwa kadi namba 2 ya uanachama wa ACT Wazalendo

    Mayowe ya chura tu hayo, hayazuii JPM kupiga kazi kwa spidi ile ile
  6. M

    MAGUNOMICS: Sera za Magufuli zinazoleta mageuzi chanya kiuchumi

    hata darasa la saba akitulia ataelewa maana lugha ni kiswahili na hakuna misamiati migumu hapo
  7. M

    MAGUNOMICS: Sera za Magufuli zinazoleta mageuzi chanya kiuchumi

    hii ndiyo serikali ya awamu ya tano
  8. M

    ATCL yawa Lulu kwa wafanyabiashara wanaokwenda Zimbabwe, Zambia

    ATCL yawa Lulu kwa wafanyabiashara wanaokwenda Zimbabwe, Zambia SAFARI mpya za Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), ikitumia AIRBUS A 220-300 katika nchi za Zimbabwe na Zambia, zimetajwa kupunguza gharama na mzunguko usio wa lazima kwa wafanyabiashara nchini. Wafanyabiashara hao ili wafike...
  9. M

    Dk. Willem Jacobs: Hatutakiuka makubaliano yoyote tuliyoweka na Tanzania katika malipo

    DU sasa sipati picha jinsi gani mamiradi yatakwenda kwa kasi, viwanda kama vyote, elimu na madawa, bila kusahau ongezeko la mishahara kwa kasi.
  10. M

    Rais Trump ajibu Lissu kiakili

    Tatizo letu sisi watanzania tunajisahau sana,lissu anashindwa kujielewa,anadhani nchi hizo hazina matatizo,wale ni wajanja sana na ndio maana wanamtumia yeye ili kuivuruga Tanzania kwa kuwa wameshaona kuna kifaa kimeshawagundua maujanja yao.Sisi yetu mijicho tu atakuja kujutia tuuu,mwanzo...
  11. M

    Sababu ya ndege ya ATCL kusukumwa hii hapa..

    Nimeisoma na kuilewa hiyo thread na video iliyoambatishwa ni kweli sababu ya ndege kusukumwa imekaa kitaalaamu zaidi ili kulinda mitambo ya ndege, Ila wabongo wasioelewa wanalopoka tu
  12. M

    Ripoti ya Freedom House: Kenya yapanda juu ya Tanzania kwa 'uhuru wa kidemokrasia'. Tanzania yashuka Mara 7 ndani ya mwaka mmoja

    KENYA NA TANZANIA ZOTE ZINA HYBRID DEMOCRACY NA HAO WAMAREKANI WALIOCHAPISHA HIYO RIPOTI HAWANA FULL DEMOCRACY WANA "Flawed democracy"
Back
Top Bottom