Imevuja: Wajumbe kamati kuu CHADEMA wakubali hoja za Mbowe kutoshirikiana na ACT

Status
Not open for further replies.

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Imevuja, Mwenyekiti wa Chadema jana aliwaeleza wajumbe licha ya kukutana na uongozi wa ACT siku chache zilizopita, kujadili ushirikiano lakini kimsingi yeye binafsi hataki ushirikiano na ACT japo suala hilo halitawekwa hadharani.

Baadhi ya wajumbe walisikika wakisema "ni Bora tushirikiane na CCM kuliko ACT"..

Sababu kutoshirikiana na ACT ni Zitto?Maalim Seif au.....?

Mambo ni mengi muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtindo huu wa uletaji mada, nadhani unaweza kuletwa na mtu aliyepungukiwa uwezo wa fikra. Maana hakuna cha kujadili.

Huyu sijawahi kuona hata siku moja akileta hoja ambayo hata ikaashiria imeletwa na mtu japo mwenye akili ya kawaida. Wakati wote, mada zake huashiria ujinga wa kiwango cha juu. Nadhani ana ujinga wa kudumu.
 
Ndugu zangu,

Imevuja, Mwenyekiti wa Chadema jana aliwaeleza wajumbe licha ya kukutana na uongozi wa ACT siku chache zilizopita, kujadili ushirikiano lakini kimsingi yeye binafsi hataki ushirikiano na ACT japo suala hilo halitawekwa hadharani.

Baadhi ya wajumbe walisikika wakisema "ni Bora tushirikiane na CCM kuliko ACT"..

Sababu kutoshirikiana na ACT ni Zitto?Maalim Seif au.....?

Mambo ni mengi muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli Wapumbavu hukosa usingizi mkuu mbona unateseka sana? Chadema ni chama kubwa mtaangaika mfe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Imevuja, Mwenyekiti wa Chadema jana aliwaeleza wajumbe licha ya kukutana na uongozi wa ACT siku chache zilizopita, kujadili ushirikiano lakini kimsingi yeye binafsi hataki ushirikiano na ACT japo suala hilo halitawekwa hadharani.

Baadhi ya wajumbe walisikika wakisema "ni Bora tushirikiane na CCM kuliko ACT"..

Sababu kutoshirikiana na ACT ni Zitto?Maalim Seif au.....?

Mambo ni mengi muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ruzuku ya Maalim,na sasa ACT itakuwa mbadala wa SACCOS,hila zote zile kujifanya mnampenda Maalim,yeye kawachomolea nje,sasa mnaanza kumchukia kipenzi wenu Zitto,mwenyekiti wa SACCOS anachekesha
 
Don't believe this, huu ni uongo tuu na uzushi tuu wa bidada huyu, kwa sababu haiwezekani watu tushinde mchana kutwa kumsubiria nchi isimamishwe kwa kishindo kikuu, tukakesha usiku kucha tukisubiria, halafu taarifa hizi zianze kuvujia mtaa wa pili.

Na ikitokea taarifa hizi zikawa ni kweli, then nitaamini Chadema bado kuna virusi mpaka ndani ya CC yao, hivyo kuna mtu ndani ya CC ya Chadema alikuwa anavuta hii ngoma na kula mzigo tangu enzi zile na mpaka sasa anaendelea but this time for the price of infiltrating vital info from deep inside.

P
 
Ni muda tu tutasikia Zitto kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na mwenyeiti wa kudumu itakuwa kwaheri,ndio lazima achukie,mpenda madaraka hataki achukuliwe madaraka
 
Hapo hawajaanza kuvurugana pale moverment ya wapenda madaraka ikakapoanza kuondoka kutoka chama cha kilimakyaro kuelekea chama cha LEKATUTIGITE. Tena natabiri na imeanza kuonekana kutakuwa na viitikadi vya kireligion vitajificha kwenye hivi part mbili so kuna baadhi ya wafuasi sii wanasiasa ila wapo kule kuhakikisha kuwa itikadi zao zinapata platform....je watasalia? ama watamove........wapo ndio......je na huko watakapoenda.....si watajikusanja tena ri party ritamongonyoka???hivi unataka uniambie wanaohama na kuhamia vyama hivyo wana mapeenzi saaana na vyama hivyo??? thubutu kuna watu wamekaa kwenye vyama furani kwa kuhamia rakini hata katiba ya chama hicho hawaijui....wao na yao ya moyoni.....madaraka....udini.....ukabira.....Abiria chunga mzigo wako..... Tuudumishe umoja wetu....
 
Of course CHADEMA ni wanafki sana hata siku moja hawawezi kushangilia umaarufu wa ACT maana ikija juu haita kuwa na utofauti na CHAUMA 😁😁 ndo itakuwa kifo chake
 
Don't believe this, huu ni uongo tuu na uzushi tuu wa bidada huyu, kwa sababu haiwezekani watu tushinde mchana kutwa kumsubiria nchi isimamishwe kwa kishindo kikuu, tukakesha usiku kucha tukisubiria, halafu taarifa hizi zianze kuvujia mtaa wa pili.

Na ikitokea taarifa hizi zikawa ni kweli, then nitaamini Chadema bado kuna virusi mpaka ndani ya CC yao, hivyo kuna mtu ndani ya CC ya Chadema alikuwa anavuta hii ngoma na kula mzigo tangu enzi zile na mpaka sasa anaendelea but this time for the price of infiltrating vital info from deep inside.

P
Jenga hoja bila dhihaka Mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Imevuja, Mwenyekiti wa Chadema jana aliwaeleza wajumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Wakudada, kiukweli nimekuvulia kofia, CC ya Chadema jana imekaa behind the closed doors tena totally sealed, tumesubiria hadi tumekesha usiku kucha tukisubiria nchi kusimamishwa kwa kishindo kikuu, halafu taarifa za inside info zinaibukia kwako!.

Kiukweli ungekuwa ni Mwandishi wa habari, you would have been the best kwa jinsi ya kumlainisha source hadi kupata inside info.

Hongera sana.

Ikibidi unauliza kuta za ukumbi ili kupata habari,japo kule ndani makada wamejaa kutoa habari kwani hata Arumeru Mashariki imeleta mzozo mkubwa kati ya kuweka mgombea au kutoweka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu,

Imevuja, Mwenyekiti wa Chadema jana aliwaeleza wajumbe licha ya kukutana na uongozi wa ACT siku chache zilizopita, kujadili ushirikiano lakini kimsingi yeye binafsi hataki ushirikiano na ACT japo suala hilo halitawekwa hadharani.

Baadhi ya wajumbe walisikika wakisema "ni Bora tushirikiane na CCM kuliko ACT"..

Sababu kutoshirikiana na ACT ni Zitto?Maalim Seif au.....?

Mambo ni mengi muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hvii limezuka kundi linaloogopa sana umoja baina ya Chadema na ACT-Wazalendo.
Kama miongoni mwa wanaogopa ushirikiano huo ni pamoja na Viongozi mahiri wa upinzani, (assuming this information is true), then Tanzania tuna matatizo makubwa sana!
Ukombozi wa Nchi yetu kuelekea kwenye Demokrasia ya kweli, tupende tusipende, utaanzia Zanzibar.
Na kwa sasa mwenye ufunguo huo ni Maalim Seif.
Wanaopenda demokrasia watamuunga mkono. Wasiopenda demokrasia watashirikiana na kundi linalotaka Chama cha ACT-Wazalendo kifutwe.
And there is nothing in between!
 
Ndugu zangu,

Imevuja, Mwenyekiti wa Chadema jana aliwaeleza wajumbe licha ya kukutana na uongozi wa ACT siku chache zilizopita, kujadili ushirikiano lakini kimsingi yeye binafsi hataki ushirikiano na ACT japo suala hilo halitawekwa hadharani.

Baadhi ya wajumbe walisikika wakisema "ni Bora tushirikiane na CCM kuliko ACT"..

Sababu kutoshirikiana na ACT ni Zitto?Maalim Seif au.....?

Mambo ni mengi muda mchache.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo kazi ya tiss kuiba Siri za Chadema badala ya kwenda US, UK, Japan na Germany kuiba Technology ili nchi iendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom