Hii sheria ya vyama vya kisiasa inaenda kuharibu ndoto za watu wengi sana... Example Nape, Mwingulu, Makamba etc... Ndani ya ccm wasifikiri wapo salama wakidhani hii sheria itawaumiza wapinzani pekee
Kura zingekuwa zinapigwa kwa jinsi mnavyoshabikia kuanguka kwa Serikali inayongozwa na Magufuli, upinzani ungeingia Ikulu.
Lakini ukweli nguvu ya upinzani iko mitandaoni tu siyo kwa wapiga kura. Maana wakati Serikali inashughulikia kero za wapiga kura, viongozi wa upinzani wanahangaika kudai demokrasia, uhuru usio na mipaka na wajibu pasi kuwajibika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo zuri lakini zito awe makini sana na mamluki, CHADEMA tumeshang'atwa na hii mi mamluki ni bora kutafuta wanachama asilia maana bado Kuna watu wengi wasio na vyama ni suala tu la kuwaelimisha na kuwashawishi, yaani mimi binafsi hii mi mamluki siikubali kabisa.
Wakitaka kjiunga muwape kwanza masharti ya kukijenga chama kwa muda flani ndio waje wapate nafasi za uongozi ndani ya chama na nafasi za kugombea nafasi mbali mbali za kitaifa. Ili kuepuka aliyo yafanya mzee Lowassa.
Hahaha kaka nilikuwa napitia comment tu ila umenifanya nilog in nikusalimie,naona umemuweka huyu mzee pale anapostahiliAcha uongo! Eti umegoma! Sema watu wamekugundua kwamba nawe ni MNAFIKI MKUBWA usiye na msimamo ulio THABITI. Utadhani huyo nduli wa magogoni alipakuwa ubongo wako wote na kujaza matope yaliyochanganyika na uchafu. Usidhani Watanzania wote ni Wapumbavu.
Hahaha kaka nilikuwa napitia comment tu ila umenifanya nilog in nikusalimie,naona umemuweka huyu mzee pale anapostahili
Sipendagi Unafiki Mkuu.
Mzee amepoteza heshima jukwaani
Kwahiyo wanapewa wana ccm wengine? Kweli upinzani ni sawa mwendawazimuHizo kadi zilikuwa zikimilikiwa na akina Kitila Mkumbo, Samson Mwigamba, Habibu Mchange , Mama Mghwira n.k hao wamerudi CCM
Tunaomba source.Hivi watanzania hatukujifunza lolote kutoka kwa Mzee Ngoyai Lowassa....hahahaha! Au tumesahau ACT ilianzishwa na masisiemu kwa ajili ya kudhoofisha UKAWA, tena kwa pesa zetu za mifuko ya hifadhi za jamii ambayo taratibu imejifia! Atakayedhani kigogo wa kadi #2 ni habari nzito basi ubongo wake umejaa masizi! na ni punguani, full stop!
Lowassa na Mrema walishindwa kutoa ushirikiano au nini? Kilangila.Yaani wewe ni zaidi ya wanyama wa Serengeti. Alishindwa Lowassa na Mrema kweli ubongo wenu ni sawa na hao wanyama!
Utajuaje? Kilangila.Aje kamili kamili asije nusunusu kama lowassa.
Wanaoijua ACT Wazalendo na Zitto hawatastushwa na hili,tunajua ni zuga tu.Labda asiyeielewa ACT ni Maalim Seif.
Hata hivyo huyo anayeitwa kigogo atakuwa hana madhara 2020 maana sheria ya vyama vya siasa imeshasainiwa.This is a mistake, haya ndio moja ya makosa ya Zitto, yuko too impulsive, vitu kama hivi hakutakiwa kusema kabla, alipaswa to take them by surprise.
P