Ripoti ya Freedom House: Kenya yapanda juu ya Tanzania kwa 'uhuru wa kidemokrasia'. Tanzania yashuka Mara 7 ndani ya mwaka mmoja

KENYA NA TANZANIA ZOTE ZINA HYBRID DEMOCRACY NA HAO WAMAREKANI WALIOCHAPISHA HIYO RIPOTI HAWANA FULL DEMOCRACY WANA "Flawed democracy"
1549815695601.png
 
Hata tungekuwa wa kwanza tusingepata tija yoyote kwa uchumi wa watu wa chini kama unahisi hauko huru Tanzania hamia kenya
 
Repoet hii ilovyo inaelezea uhalisia. Mtu yeyote aliye mchunguzi ni lazima katika Afrika Mashariki, kwa kiwango cha uhuru wa kujieleza, angeiweka Kenya katika nafasi ya mwanzo.

Nchi yetu inashuka kwa kasi. Na tukienda na kasi yetu ya sasa haitachukua muda tutakuwa katikati ya Uganda na Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada kwa heshima na taadhima ungebadilisha username yako kuwa either 'Chadema habari' ungesound vzuri sana maana nmekuwa nkifuatilia habari zako zinakinzana na username yako ambayo unajiita Mwanahabari Huru lakni habari unazokuwa unazileta hapa jamvini ni za mlengwa mmoja tuu
Anyway ubarikiwe sana kwa kuendelea kutupasha habari humu jamvini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni wapi kwenye hiyo taarifa pameandikwa Chadema?au mm nimechanganya thread? Mana sijaona Popote kwenye hiyo taarifa Penye neno Chadema. Hii inaonyesha unachuki Sana na Chadema kiasi kwamba kila habari or kila jambo unalihusisha nayo. Sambaza UPendo Mkuu sio chuki haitokusaidia lolote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Repoet hii ilovyo inaelezea uhalisia. Mtu yeyote aliye mchunguzi ni lazima katika Afrika Mashariki, kwa kiwango cha uhuru wa kujieleza, angeiweka Kenya katika nafasi ya mwanzo.

Nchi yetu inashuka kwa kasi. Na tukienda na kasi yetu ya sasa haitachukua muda tutakuwa katikati ya Uganda na Rwanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi yenu ipi?
Hamia Kenya...
 
Upuuzi mtupu. Hiyo ripoti imetoka kabla ya mahojiano na Lisu BBC. Halafu kwa nini wakati Tanzania ilipokuwa juu ya Kenya habari haikuandikwa? Lazima ujue BBC Swahili ni chaka la wakenya. Kwa hiyo hamna kitu hapo. Jipange upya. Utawapata misukule wenzako wa ufipa tu.
Mulize mzee meko kwanini ameporomosha demokrasia Tanzania anawasiwasi wa nini
 
Hata hicho kidogo kilichobaki nashauri kiondolewe,wapinzani yafaa watawaliwe kwa mijeledi.
 
Back
Top Bottom