Hassan Ngoma: Kuugua kwa Lissu hakuna maana ila Wananchi ambao hawana Uwakilishi muda mrefu ndiyo Wathaminiwe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi na Muuliza Maswali bora na yaliyoenda Kidato ( Shule ) wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Haya nadhani sasa wale ambao ni Watetezi wakuu wa Tundu Lissu mmemsikia Kipanga wa CMG Mtangazaji Hassan Ngoma na Yeye Msimamo wake ameuweka wazi tu kuwa anadhani Wananchi wa Jimbo la Tundu Lissu ndiyo wanatakiwa waonewe Huruma sana kuliko Yeye Mtu Mmoja tu Tundu Lissu na anadhani ilitakiwa mapema mno kama Tundu Lissu alishaona kuwa hatokuwepo Jimboni Kwake kwa muda mrefu basi angeliachia tu hilo Jimbo ili kuwapisha wengine waweze Kuwawakilisha Wananchi wa hilo Jimbo.
 
omari londo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
1,812
2,000
“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi bora wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.
Mnapataga wapi muda wa kusikiluza watu matakataka.?
 
mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
3,947
2,000
Watanzania tupo zaidi ya million 50 tumekuwa tukiibiwa kwa miaka 50 na kuendelea na wingi wetu huu lakini tunapigwa hela ambazo ni 1.5T tupo kimya tu.

Binafsi tunapokuwa na watu Kama Lissu lazima tufarijike kwa uwepo wao, sio Lissu tu hata wewe kama utakuwa unaongelea matatizo ya wananchi.

Tupadilike wakoloni weusi wanatuibia tu.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
Toka baba yake mkubwa apewe hela za ugunduzi wa madini ya tanzanite akili zote zimegeuka na kuwa uyoga
Nasikia Mtangazaji Hassan Ngoma ndiyo Mtanzania pekee anayejulikana kuwa na IQ Kubwa kuliko wengineo wote na ndiyo maana huwa anafanya Uchambuzi wa mambo yote huku akiwa anajua kila Kitu pia na hakuna ambacho utamuuliza asikijue cha Tanzania na Duniani huko kote.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
46,498
2,000
“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi na Muuliza Maswali bora na yaliyoenda Kidato ( Shule ) wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Haya nadhani sasa wale ambao ni Watetezi wakuu wa Tundu Lissu mmemsikia Kipanga wa CMG Mtangazaji Hassan Ngoma na Yeye Msimamo wake ameuweka wazi tu kuwa anadhani Wananchi wa Jimbo la Tundu Lissu ndiyo wanatakiwa waonewe Huruma sana kuliko Yeye Mtu Mmoja tu Tundu Lissu na anadhani ilitakiwa mapema mno kama Tundu Lissu alishaona kuwa hatokuwepo Jimboni Kwake kwa muda mrefu basi angeliachia tu hilo Jimbo ili kuwapisha wengine waweze Kuwawakilisha Wananchi wa hilo Jimbo.
Aendelee kushupaza shingo ipo siku na yeye atakumbukwa kwenye teuzi.
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,044

Aisee Hassan...!!! Kwake ishu ni idadi na siyo uhai wa Mtanzania..!!! Kwa hiyo tuseme alippfariki Ruge, kwa vile wafanyakazi wa CMG waliobaki ni wengi, ndo wakuonewa huruma..?!
 
mwasu

JF-Expert Member
Jul 13, 2011
10,214
2,000
Huyu jamaa ni pumbavu ndio maana ana tuhuma za kumuwekea sumu arauge, kama ana akili hizi ninaweza kuamini.. Yeye hapo alipo amefaidika vipi na mbunge wa jimbo lake? Kwanza huko bungeni sasa hivi kuna uwakilishi wa wananchi au kwenda kuhitimisha maamuzi ya mkuu?Bure kabisa.
 
cabo

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
2,118
2,000
Yeye anawasemea kama nani amekuwa polepole sikuizi mbona hakuna aliyetokea kwa jimbo hilo na kusema chochote
 
M CM

JF-Expert Member
Nov 25, 2012
2,426
2,000
Kwa aina ya wabunge wengi wa ccm tulionao ni bora mara elfu kutokuwa na muwakilishi bungeni sioni faida yao. Sijawahi ona mimi kama mwananchi wa kawaida au hata mtumishi nikiwakilishwa na mbungu wa ccm. Miongon mwa wanafki waliobaki wanajipendekeza kwa mamlaka ili wapate fursa ya kuteuliwa ngama Hasan ni mmoja wao
 
malichi

Member
Nov 7, 2018
79
125
“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi na Muuliza Maswali bora na yaliyoenda Kidato ( Shule ) wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Haya nadhani sasa wale ambao ni Watetezi wakuu wa Tundu Lissu mmemsikia Kipanga wa CMG Mtangazaji Hassan Ngoma na Yeye Msimamo wake ameuweka wazi tu kuwa anadhani Wananchi wa Jimbo la Tundu Lissu ndiyo wanatakiwa waonewe Huruma sana kuliko Yeye Mtu Mmoja tu Tundu Lissu na anadhani ilitakiwa mapema mno kama Tundu Lissu alishaona kuwa hatokuwepo Jimboni Kwake kwa muda mrefu basi angeliachia tu hilo Jimbo ili kuwapisha wengine waweze Kuwawakilisha Wananchi wa hilo Jimbo.
Kwaiyo ww ulitaka Tundu lissu aendelee kulishika wakati yeye hayupo nchini?,wakati mwingine tuache ushabiki tuangalie na upande mwingine sijaona kama hassan ngoma kakosea kusema hivyo,huo ndio ukweli na hajamaanisha kuwa unafurahishwa na kuugua kwa lissu.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
Huyu jamaa ni pumbavu ndio maana ana tuhuma za kumuwekea sumu arauge, kama ana akili hizi ninaweza kuamini.. Yeye hapo alipo amefaidika vipi na mbunge wa jimbo lake? Kwanza huko bungeni sasa hivi kuna uwakilishi wa wananchi au kwenda kuhitimisha maamuzi ya mkuu?Bure kabisa.
Kiongozi sijakuelewa vizuri hapa unasema kwamba kumbe Kifo cha Ruge na Yeye ( HN ) Mr. Tanzanite amehusika nacho kwa Kumuwekea hiyo Sumu unayoisema hapa? R.I.P sana Ruge Mutahaba.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
Kwaiyo ww ulitaka Tundu lissu aendelee kulishika wakati yeye hayupo nchini?,wakati mwingine tuache ushabiki tuangalie na upande mwingine sijaona kama hassan ngoma kakosea kusema hivyo,huo ndio ukweli na hajamaanisha kuwa unafurahishwa na kuugua kwa lissu.
Wananchi wa Jimbo lake kuna Siku yoyote ile au mahala popote pale uliona wamelalamika kuwa hawapati Huduma yake kwa huo muda mrefu ambao amekuwa hayupo tena kwa tukio la Kikatili ambalo amefanyiwa? Hapa nikikuita Duduna ( Pumbavu ) kwa kutokujua Kwako Kujenga Hoja vyema nitakuwa nakosea au nakukosea?
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
6,641
2,000
“ Tuacheni Unafiki Kujifanya tunasikitika na tunaona Huruma Kuugua kwa Tundu Lissu huku tukijua kabisa kuwa Wananchi wake ambao wanahitaji Huduma yake kama Mbunge kwa muda mrefu hawawakilishwi hivyo Wao ndiyo wanaathirika zaidi kuliko Yeye Mmoja tu “

Huyu ndiye Mtangazaji na Mtu aliyejipachika Cheo cha kuwa Mchambuzi na Muuliza Maswali bora na yaliyoenda Kidato ( Shule ) wa Nyanja zote katika Chombo chake cha CMG hasa akiwa pale Clouds 360 akijulikana kama Hassan Ngoma a.k.a Mr. Tanzanite.

Haya nadhani sasa wale ambao ni Watetezi wakuu wa Tundu Lissu mmemsikia Kipanga wa CMG Mtangazaji Hassan Ngoma na Yeye Msimamo wake ameuweka wazi tu kuwa anadhani Wananchi wa Jimbo la Tundu Lissu ndiyo wanatakiwa waonewe Huruma sana kuliko Yeye Mtu Mmoja tu Tundu Lissu na anadhani ilitakiwa mapema mno kama Tundu Lissu alishaona kuwa hatokuwepo Jimboni Kwake kwa muda mrefu basi angeliachia tu hilo Jimbo ili kuwapisha wengine waweze Kuwawakilisha Wananchi wa hilo Jimbo.
Hassan Ngoma a k a Mr Tanzanite yuko sahihi kwa asilimia Mia moja.
Huo ni mtazamo wake kwa mujibu wa Katiba ana uhuru wa kutoa maoni yake.

Povu ruksa!
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,830
2,000
Kuna mbunge anaitwa MGUU nadhani wa kanda ya ziwa,since 2016 hadi sasa hajakanyaga bungeni,
Bila shaka Kiongozi wangu hapa utakuwa unamuongelea NEM ( Baba Mkwe ) wa Kisiri wa Mmoja wa Mbunge wa Mkoa ambao hauko mbali na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo au?
 
Top Bottom