Nahitaji mfanyakazi wa kuuza dukani
Duka dogo kabisa la REJA reja
Awe mwanamke
Umri kati ya miaka 15 na 23
Atalala hapo hapo
Mshahara 90,000
Anahitajika haraka sana (0655 489 483
Ninatamani kukodisha gari (coster ) kwenda Rombo mkuu kwa Christmass.
Nahitaji watu wa kuchangiana nao.Tuwe kama familia 4 hivi
Makadirio kila mtu atoe 300,000.
Natarajia kuondoka Ijumaa ijayo.
Aliyetayari tuwasialiane 0755 489 473
Nawashukuru kwa ushirikiano mlionipa.nimepata tayari.Asante jamii forum.
Nilishindwa kujibu kwa muda kwa sababu za kimajukumu. Kwa waliosema ni utapeli naomba waondoe hio dhana .Namba niliyoweka imesajiliwa na ukitaka kuniona pia nakukaribisha. Ni mtanzania safi anayetumia njia ya kisasa kupata...
Nahitaji mfanyakazi
Ataweza kuwa wa kazi za ndani ama dukani kulingana na uwezo na ushapu wake.
Mshahari kuanzia 50,000
Aanze kazi mara moja.
Atapata sehemu ya kulala na milo yote.
0739 489 473
Hii ni hatari kubwa sana.kodi ya pango 200,000,Dada wa kuuza 70,000,mlinzi 5000,taka 5000,umeme 30,000.....badoTRA.kumbuka umechukuwa fedha benki na interest ni 5% and above?he kuna kujiajiri kweli?Je tutapona.hii ni kwamba wauzaji wa umeme wataacha hii kazi na wateja wataenda tanesco.
MTU...
Msilaumu sana. Hata huku Startimes kuna Sibuka mara mbili. Hio Sibuka moja unalipia pia.
Ruge sio wa kulaumu. Ni ubunifu tu wa biashara.Hutaki unaacha tu kuangalia.
Kwani soda inapouzwa 1000 kwa baadhi ya sehem mbona hatuhoji?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.