Wapi mkoa gani na eneo ganiNahitaji mfanyakazi
Ataweza kuwa wa kazi za ndani ama dukani kulingana na uwezo na ushapu wake.
Mshahari kuanzia 50,000
Aanze kazi mara moja.
Atapata sehemu ya kulala na milo yote.
0739 489 473
MlanguziHUYU NI TAPELIIIII II I JAMANI
Kuweni makini wanaJF huyu ni tapeli
haha tunakimbizana na maisha ndugu.niliweka namba ya simu na wadau nimeongea nao.Muda wa kuwa online ni shida nduguHili tangazo limedondoka kutoka katika briefcase ya mleta mada.
Hakulidhamiria lijibandike hapa na ndio maana hamumuoni akija kulikagua na kujibu maswali.
salute kwako kiongoz. wengine wangetukanaNawashukuru kwa ushirikiano mlionipa.nimepata tayari.Asante jamii forum.
Nilishindwa kujibu kwa muda kwa sababu za kimajukumu. Kwa waliosema ni utapeli naomba waondoe hio dhana .Namba niliyoweka imesajiliwa na ukitaka kuniona pia nakukaribisha. Ni mtanzania safi anayetumia njia ya kisasa kupata taarifa na kitu anachotaka kwa uwazi.
Ila ni ukweli matapeli wapo na hata walionipigia kutafuta hii nafasi matapeli nimewajua pia.