Ndugu umeandika mambo ya kweli kabisa lakini nikuambie tu mtaji wa hawa watu ni Ujinga na kutokujitambua kwa Watanganyika wengi ambao hawapo humu.Maana yangu ni kwamba haya yanayosemwa humu na sehemu nyingine asilimia kubwa ya WaTanganyika hawayajui wala kuyafahamu
Hilo tatizo sio ww wakwanza kuniambia na nimeongea na tigo wanadai namba haina tatizo ila biashara tunafanya uso kwa uso so haina shida wala ubabaishaji
Kama unatumia watsap nicheck kwa 0654936190
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.